Home
Unlabelled
NUMBER 10 LIPO MITAANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michu,usiwe unaweka vijarida vyenye vichwa vya habari visivyoeleweka. Kwa mfano hii ya Chuji amtesa J Dee. J.Dee ni mke wa mtu na mumewe ni Gadnar ana wivu vibaya sana tena anampa kibano cha nguvu huyu Binti hadi anakimbia nyumba yake pale kimara temboni!! Naamini hata hii akiiona Gadna basi huko Home hapatoshi.
ReplyDeleteMangi wa K'koo
Mtoto mwenye njano ametulia ingawaje simjui kwa jina. Kwa wanaomjua wa-comment kama hajaoa nitume ombi maana natafuta mke wa pili dini yangu inaniruhusu.Mawazo yangu tu.
ReplyDeleteMdau.
kaka Shafii Dauda hongera kwa kazi nzuri, nakutakia mafanikio katika biashara yako hii, na maandalizi mazuri ya harusi yako, tuko pamoja kaka
ReplyDeletejay de akinuna ana sura nzuri kweli!!lakini bwana akiongea au kucheka!!!duuu eno yamepandana kaa milima..powadada jay deeuwe unanuna usicheke
ReplyDeleteJamani ehe, muwe mnasoma maoni ya wenzenu ndio mchangie. Umeambiwa Jide ni mke wa Capt Gadna wewe unasema unataka kuoa mke wa pili inakuwaje mwana? Kama imebana leta tuitanue, kama una ruba geuka nikubandue....Harafu Chuji amtesa Jide ndio nini? mnaboa.
ReplyDeleteTatizo nini? Mpaka kukamatwa, takukuru walikuwa mefanya uchunguzi wa kutosha bila shaka. Hao waandaa mashtaka (prosecutors) wamesomea wapi sheria mpaka wanapelekwa puta kiasi hicho na watetea fisadi (defence)?
ReplyDeleteNi jarida zuri kwasababu (pamoja na mambo mengine) unapata makala za uchambuzi kutoka kwa watz wenzetu. Waandaaji kama wajasiliamali lazima waweke uzito ktk uhariri wa kazi zao> Toleo hili lina makosa mengi sana (mfano kwenye tahariri linaonyesha mechi ya fainali UEFA ni kati ya Man U na Arsenal Mei 27, badala ya Man U na Barcelona).
ReplyDeleteVile vile, tanzazo limeandikwa HAED QUORTER. Hii sio nzuri kwa marketing..Otherwise, kazi yao ni nzuri.
I like photoshop kama sio yeye...she looks absolute gorgeous....love it
ReplyDeletekaka shafii pole na kichapo
ReplyDeleteNumber 10 ni jarida zuri, lililotulia. Hongera sana Shafii.
ReplyDeleteJamani najua si mahali pake, lakini kuna boti imepinduka Zanzibar usiku huu (EAT) na kuna watu zaidi ya 100, kuna heka heka Zanzibar na Dar saa hizi. Ilikuwa inatokea Zanzibar kuja Dar
ReplyDeletehivi jamani naomba kuuliza mheshimiwa hili gazet ila namba 10 halina website yake kwani tunaihitahi sana cc watu tuliopo nje ya Tanzania
ReplyDeletePositive site, where did u come up with the information on this posting? I'm pleased I discovered it though, ill be checking back soon to find out what additional posts you include. www.surgeongate.org/michigan-plastic-surgery/michigan-liposuction/
ReplyDelete