JARIDA LA MICHEZO NA BURUDANI LA NUMBER 10 LIPO MITAANI. PATA NAKALA YAKO MAPEMA KABLA HALIJAISHA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2009

    Kaka Michu,usiwe unaweka vijarida vyenye vichwa vya habari visivyoeleweka. Kwa mfano hii ya Chuji amtesa J Dee. J.Dee ni mke wa mtu na mumewe ni Gadnar ana wivu vibaya sana tena anampa kibano cha nguvu huyu Binti hadi anakimbia nyumba yake pale kimara temboni!! Naamini hata hii akiiona Gadna basi huko Home hapatoshi.


    Mangi wa K'koo

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 27, 2009

    Mtoto mwenye njano ametulia ingawaje simjui kwa jina. Kwa wanaomjua wa-comment kama hajaoa nitume ombi maana natafuta mke wa pili dini yangu inaniruhusu.Mawazo yangu tu.
    Mdau.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 27, 2009

    kaka Shafii Dauda hongera kwa kazi nzuri, nakutakia mafanikio katika biashara yako hii, na maandalizi mazuri ya harusi yako, tuko pamoja kaka

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 27, 2009

    jay de akinuna ana sura nzuri kweli!!lakini bwana akiongea au kucheka!!!duuu eno yamepandana kaa milima..powadada jay deeuwe unanuna usicheke

    ReplyDelete
  5. Jamani ehe, muwe mnasoma maoni ya wenzenu ndio mchangie. Umeambiwa Jide ni mke wa Capt Gadna wewe unasema unataka kuoa mke wa pili inakuwaje mwana? Kama imebana leta tuitanue, kama una ruba geuka nikubandue....Harafu Chuji amtesa Jide ndio nini? mnaboa.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 27, 2009

    Tatizo nini? Mpaka kukamatwa, takukuru walikuwa mefanya uchunguzi wa kutosha bila shaka. Hao waandaa mashtaka (prosecutors) wamesomea wapi sheria mpaka wanapelekwa puta kiasi hicho na watetea fisadi (defence)?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 27, 2009

    Ni jarida zuri kwasababu (pamoja na mambo mengine) unapata makala za uchambuzi kutoka kwa watz wenzetu. Waandaaji kama wajasiliamali lazima waweke uzito ktk uhariri wa kazi zao> Toleo hili lina makosa mengi sana (mfano kwenye tahariri linaonyesha mechi ya fainali UEFA ni kati ya Man U na Arsenal Mei 27, badala ya Man U na Barcelona).
    Vile vile, tanzazo limeandikwa HAED QUORTER. Hii sio nzuri kwa marketing..Otherwise, kazi yao ni nzuri.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 27, 2009

    I like photoshop kama sio yeye...she looks absolute gorgeous....love it

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 28, 2009

    kaka shafii pole na kichapo

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 28, 2009

    Number 10 ni jarida zuri, lililotulia. Hongera sana Shafii.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 30, 2009

    Jamani najua si mahali pake, lakini kuna boti imepinduka Zanzibar usiku huu (EAT) na kuna watu zaidi ya 100, kuna heka heka Zanzibar na Dar saa hizi. Ilikuwa inatokea Zanzibar kuja Dar

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 02, 2009

    hivi jamani naomba kuuliza mheshimiwa hili gazet ila namba 10 halina website yake kwani tunaihitahi sana cc watu tuliopo nje ya Tanzania

    ReplyDelete
  13. Positive site, where did u come up with the information on this posting? I'm pleased I discovered it though, ill be checking back soon to find out what additional posts you include. www.surgeongate.org/michigan-plastic-surgery/michigan-liposuction/

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...