Mh. Peter Alain Kalaghe Balozi wa Tanzania nchini Canada aliyekuwa Mgeni rasmi wa shughuli hiyo ya uzinduzi akikabidhiwa Katiba ya chama na Mwenyekiti Dr. Zacharia Mandara tayari kwa uzinduzi rasmi.
Mh. Balozi Peter Kalaghe akiwa katika pozi na viongozi wa TAO. Kutoka shoto waliokaa: Bi Eva Mfinanga (Katibu Msaidizi), Mh. Peter A. Kalaghe (Balozi na Mgeni rasmi siku hiyo), Dr. Z. Mandara (Mwenyekiti), Prof. Amos Mhina (Mgeni mwalikwa). Waliosimama toka shoto: Ibrahim Umba (Katibu), Bief MacKenzie (Makamu Mwenyekiti), Raphael Kajubiri (Mwandaaji), John Kalonga (Afisa Uhusiano), na Faraji Jermaine (Mweka hazina msaidizi).
Mh. Peter Kalaghe akitoa hotuba fupi mara baada ya uzinduzi wa chama cha Watanzania waishio Ottawa. Kubwa kati ya yote amekitaka chama kuwa kiini cha vyama vingine vya Watanzania vilivyoko Canada kwa kuwa TAO ipo makao makuu ya nchi.




Hongereni sana ndugu zetu wa Ottawa. Msije mkawa kama sisi hapa Toronto mambo ya kuanzisha vyama 100.
ReplyDeleteUmoja ni Nguvu wandugu.
J.
Hongera wadau! Nilifikiri ni ufunguzi wa tawi la CCM Ottawa! Naona kale ka movement kako UK peke yake.
ReplyDeleteHongereni,
ReplyDeleteLakini kila siku hukaa nikajiuliza inakuwaje hizi jumuiya zilizoko nje zikianzishwa huwa ni watanganyika watupu? Wazenji inakuwaje huwa hawajihusishi. Kuna tatizo gani? siamini kama wazenji hawako huko ughaibuni.Lazima kuna neno. Hebu watambuzi tuambieni.
Mdau
wazenji ukiwaalika wanakwambia hawataki mambo ya najisi. hakuna watu wabaguzi majuu kama wazenji, shughuli zao hawataki wabara, kwanza wanadai wabara hawajui kupika, hawajui kufukiza udi nk. especially wazenji wanaoishi vitongoji vya washington DC. kuna anayebisha?
ReplyDeleteMbona wazee tupu na familia zao tu.. inamaana huko hakuna vijana kama UK...
ReplyDeletenawapongeza sana nyie wadau wa canada nyie ndio wabongo wenye akili hoingereni
ReplyDeletehapo powa sio wale wenzenu wa UK eti tawi la ccm londoni lina maana gani au litawasaida nini
Wazanzibari huku ughaibuni wala hawajiiti wa Tanzania; lakini wanatumia pasipoti za Tanzania wakisafiri ua wakizidiwa na matatizo. Inaudhi sana; kwanza hakuna tunachofaidi toka kwao bali wao toka kwetu. Waruhusiwe tu wajitenge na hao waliojazana Dar na kuishi kwenye mansions warudi Zanzibar wanakoogopa ushirikina hivyo wataishi kwenye vibanda.
ReplyDeleteJ.
Toronto.
Bajameni, chonde chonde fungueni matawi ya Chama tuongeze wanachama nje ya nchi.
ReplyDeleteOngera sana mzee Umba kwa kuhukwaa Ukatibu.
ReplyDeleteBest huo mduara unavyoucheza kibabe mpaka inatisha na hiyo ni moja ya dalili ya utawala wa mabavu. Big Up
S. frm New Zealand
Wazenji tulikuwepo mbona? si lazima tuwe na name tags kuonyeza tunatokea Unguja. Jamani mbona sote ni ndugu tunatokea Tanzania.
ReplyDeleteHongereni wana umoja wa Ottawa. Katibu, Ibrahim Kassim mwana wa Umba, mtaalam wa IFM - Dar,hujambo? Mwanzo nilidhani ni Mike Tyson! Unakula kuku tu. Nadhani sasa ushakuwa mtu mzima utundu umepunguza, umeshakuwa!
ReplyDeleteAcha mambo yako mdau wa IFM,hapo juu!mambo ya Umba alikuwa mtundu ni huko huko Ifm,unamvunjia heshima kwa mkewe!mambo kama haya yakuandika kwenye personal emails,siyo hapa!
ReplyDeleteHapa pongezi zinatosha!
Nawashukuru sana wa TAO kwa kujituma kufanya kitu cha maana nawasihi msiingize siasa CCM au NCCR lengo ni kujemnga hali za maisha yenu hapo Ottawa.
ReplyDeleteNawapongeza viongozi wote waliochanguliwa kuongoze umoja, najua hakika umoja utaenda mbele.
Kuhusu wanzenjii kila amtu anahaki ya kujiunga na umoja na kila mtu anauwezo wa kujua ni nini kilicho chema katika maisha.
Nwapongeza sana mzee Mandara usisahau ulikuwa Mangi, kijenge chama kama uchaggani.
Nawapongeza sana mlioanzisha huo umoja hapo ottawa.
ReplyDeleteNapenda kuja kuishi hapo Baadae
By Deussons Collins