






Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mzee wa Libeneke nimezikubali taswira hizi hasa ya Mrisho Ngassa akiwafungisha tela Weupe Watupu wawili hapo chini, Dihile akikamata mpira na chuma kilivyotinga ndani ya kimia.
ReplyDeleteEndeleza libeneke mwanangu.
Taswira zimetulia babake.Utadhani ni ndani ya emirates.Taifa starzz kaza buti kuleni vinyesi baada ya miaka miwili lazima tutie timu ndani ya Africa Cup of Nations.
ReplyDeletebroo michuzi pole kwa kazi !
ReplyDeletehongereni taifa star lakini ukweli hapa tunajidanganya newzeland wapi na wapi na kabubumbu hawa ni rugby cricket na sio football.
hata ukiangalia fifa world rank utajua tumetwanga maji bora hata tujipime na burundi ama rwanda.
sikandii lakini ukweli ni huo
Wenzetu Nigeria ijumaa wamecheza na Ireland matokeo moja moja na jana wamecheza na france ikiwa full mkoko na kuilaza moja bila.sisi tunacheza na watu wa Rigby,hawa hawana tofauti na Vancouver ya Canada.
ReplyDeletemdau Kisiju.
Mimi tu au mwandishi hajatuambia ni magoli mangapi tumeshinda? Hata hivyo nashukuru kuona ushindi maana juzi niliota tuko sare na Afghanistan hadi dakika ya 89 alipopachika goli talibani mmoja mwenye kilemba cheusi. Japo ilikuwa ndoto tu iliniuma...
ReplyDeleteMzee wa kukandia hatujatwanga maji kwenye kinu. Nimeangalia fifa world rankings nikaona ziko hivi:
ReplyDeleteTanzania:
31 kati ya 52 kwa Afrika
ya 109 ulimwenguni kati ya zaidi ya 200.
New Zealand:
1 kati ya 11 kwa Oceania
82 kati ya zaidi ya 200 ulimwenguni.
Kwa hiyo tumempiga bao mtemi wa ukanda wa Oceania na FIFA wanaiona timu hiyo ni kali kuliko Zambia, Rwanda, Angola, Kenya, El Salvador na Liberia. Japo ushindi huo sio sawa na kuwafunga Ghana au England lakini walau utafanya mataifa yaliyo juu zaidi kisoka yakubali kucheza mechi na sisi, au pengine hata kuomba wao mechi. Tungepigwa tunapigwapigwa mabao basi hata kupata mechi za kirafiki na Djibouti ingekuwa tabu.
Mzee wa kukandia hatujatwanga maji kwenye kinu. Nimeangalia fifa world rankings nikaona ziko hivi:
ReplyDeleteTanzania:
31 kati ya 52 kwa Afrika
ya 109 ulimwenguni kati ya zaidi ya 200.
New Zealand:
1 kati ya 11 kwa Oceania
82 kati ya zaidi ya 200 ulimwenguni.
Kwa hiyo tumempiga bao mtemi wa ukanda wa Oceania na FIFA wanaiona timu hiyo ni kali kuliko Zambia, Rwanda, Angola, Kenya, El Salvador na Liberia. Japo ushindi huo sio sawa na kuwafunga Ghana au England lakini walau utafanya mataifa yaliyo juu zaidi kisoka yakubali kucheza mechi na sisi, au pengine hata kuomba wao mechi. Tungepigwa tunapigwapigwa mabao basi hata kupata mechi za kirafiki na Djibouti ingekuwa tabu.
MWAMBIE KOCHA AILETE INDIA SASA MAANA ND'O KIBOKO YA SOKA. HAO NEW ZEALAND WANATAMBA SANA KWA SOKA LA MABAVU LAKINI HAPO TUMEWAFUMA. MAXIMO LETE INDIA. CANADA TAYARI, NEW ZEALND NDO HIVYO TENA....BADO INDIA TU THEN INDONESIA, THAILAND, HADI WATUKOME. KUDADEKI
ReplyDeleteJUNE FIFA WORLD RANKINGS: NEW ZEALAND 82; TANZANIA 109.
ReplyDeleteTHIS IS CRAZY. HII NCHI HAIJULIKANI KABISA KATIKA WA SOKA ZAIDI YA RUGBY NA KRIKETI LAKINI IPO NAFASI YA 82.
TANZANIA INAYOJULIKANA KWA KUCHEZA SOKA TU (RIADHA NA NGUMI KWISHNEHI) IPO NAFASI YA 109. HAYO MAENDELEO YA MAXIMO YAPO WAPI?
TUJIULIZE WAJAMENI SIYO KUKENUA KENUA MENO TU KAMA NGIRI ALIYENUSURIKA KUNG'ATWA MATAKO NA SIMBA AU CHUI.
Mdau hapo juu kwa kukandia umejaliwa, yaani wewe hata huoni aibu....yaan ukweli pia hutaki kukubali haya bwana, kuna wengine ubishi ni jadi yenu bwana.
ReplyDeleteMzee wa libeneke, mh. DC wa Tegeta nakufagilia kwa taswira ulizotutumia wadau wako.
ReplyDeleteHiyo yaswira ya mwisho ya akina dada wanazi wa soka imenikuna sana kwa jinsi wanavyoonekana kuwa makini katika fani.
Natamani niwe na mawasiliano na mmoja wao ili tubadilishane mawazo kila baada ya gemu kama hii.
Watanzania wenzangu sijui mnataka mpewe nini zaidi.Mimi nimefurahi sana kwa sisi kuifunga New Zealand. Kwa kifupi,ni kuwa wana rank juu zaidi yetu katika fifa standings,kwahiyo taratibu, next time tutacheza na timu nyingine,na next time nyingine,hivyo hivyo hadi vijana wawe na experience ya kutosha. Nyie mnataka tuwafunge England,Italy,Brazil ndo mshangilie nchi yenu? Jifunzeni kwa wenzetu wa Bafana Bafana,wao siku zote wako na timu yao, hata kama ikiifunga Sudan,kwao ni ushindi mzuri na wanasherehekea. Nasikitishwa na wadau wanaona huu ushindi si muhimu.na huyo aliyeifananisha Tanzania na Nigeria, nadhani akili zake za kimpira bado ni changa sana.Nigeria wameenda world cup mara kibao,mabingwa wa afcon,wana rank juu duniani, kwahiyo wao kuifunga france,ni kitu cha kawaida coz huwezi fananisha wachezaji walio nao na sisi.
ReplyDelete"WAJAMENI TWENDENI MBELE TURUDI NYUMA" MNALIONAJE HILI KWENDA MPIRANI NA SUTI JAMANI? HII IMEKAAJE?
ReplyDeleteMPIRA ULIKUWA USIKU ,INA MAANA HAWAKUPATA MUDA KWENDA KUBADILISHA?UNASHANGILIAJE HUKU UMEVAA SUTI JAMANI , HAIJATULIA
MAKISIMO afukuzwe anakula tu hela zetu, juzi tu tumefungwa na Congo halafu anatuletea timu ya Rugby icheze footbal? Tusimpe muda tena.
ReplyDeleteWabongo hapo tumeliwa..
USHINDI NI USHINDI TU HATA WA NUSU GOLI NA HAUJALISHI UNACHEZA NA NCHI GANI.
ReplyDeleteKINACHOKERA NI WATU KUIKANDIA TIMU HATA KABLA YA MCHEZO HAUJAISHA. MMEABIKA.... KULENI MATAPISHI YENU. HONGERA STARS JK BOYS
Lini wabongo tutaacha upuuzi huu wa kuizomea timu yetu!! ni timu gani ambayo kila mechi inashinda! hata man u iliyo klab bingwa duniani hua inachapwa na vitimu kama fulham! Tuwe na uzalendo, kufungwa goli moja la penalti watu mnaanza kuzomea, si mngezomea hadi mpira unaisha basi! Upuuzi mtupu!!
ReplyDeleteWatanzania tunatakiwa tuelimike. Kuwa wabishi kwa jambo linaloonekana wazi sinzuri kabisa. Kwa mtu yoyote anayejua mpira anaelewa timu yetu ilipofikia ni pazuri sana. Zamani tulikua tunaenda uwanjani kwa kuwa tunapenda mpira tufanyeje ila saizi kwa kweli tunafurahishwa na kiwango walichofikia wachezaji wetu. Kwa kifupi wale wanaosema New Zealand si timu nzuri basi hata wakisema waje Brazil au England na tukafanikiwa kuwafunga watasema waliokuja si wachezaji wenyewe. Naombeni tujiamini tuipe timu yetu sapoti ili tuzidi kusonga mbele. wacheni kuwa wagumu kuelimika jamani tusonge mbele. Tuipende timu yetu. Tuache chuki binafsi.
ReplyDeleteMisoup hao uliotuwekea ni kina Dada au Kinamama.
ReplyDeleteRefa iliwaonea wazungu, goli la kusawazisha lilikuwa offside
ReplyDeletemaoni ya coach wa newzealand ippmedia" Kocha wa New Zealand, Hurbeth Ricki ameisifia Stars na kueleza wachezaji wake wengi hawakuwa wa kikosi cha kwanza na aliwapa nafasi ya kucheza ili waweze kuelewana".
ReplyDeletelink: http://ippmedia.com/Stars yawapa raha Watanzania
Kwa mdau unayezungumzia kwenda mpirani na suti..Ni kwamba gemu ilipangwa kuanza saa moja kamili jioni na ni siku ya kazi..kwa hiyo kama unaijua Dar vizuri,hiyo ni mida ya foleni so kwenda home na kuchange ikawa ngumu for most of us..kwa hiyo tuwie radhi,tunajua nini cha kuvaa mpirani..hata hivyo sio issue kiivyo babu..Mzungumzie huyu anayejiita mkurugenzi wa ufundi wa TFF,ambae anafanya flops mbili kubwa within a week kwa kuitoa Tabora kwenye Taifa Cup kihuni na kumtangaza Chuji mfungaji bora na kumsahau mwingine waliyefunga mabao sawa.. Yaani kufanya tallying ya magoli ya mashindano ya wiki 2 tu huyu jamaa ameshindwa.Kayuni are you really serious?Inua game yako kaka,watu wanakuheshimu sana..
ReplyDeleteHeee na huyu nae eti unashangaa mtu kwenda na THUTI mpirani we vipi? Ushishangae Tz shanga hata nchi za wenzetu ukiangalia mechi utawaona wazungu wamevaa suti na wako uwanjani. Hebu wacha upuuzi. Unakosoa watu pengine wewe hapo unaenda na bukta ofisini.
ReplyDeleteHEEEE KUMBE TULILUDISHA NA KUFUNGA ZAIDI MAGOLI???
ReplyDeleteaiseee safi sana,
mko juuuu vijana excellent Taifa stazzzz maxomo safiiii
office chairs kama kawa uwanjani hahahaaa
afi kila izi mechi zikiwepo me sipo,sijawai ingia ilo wanja natamani saaaana
asante
Kaka michuzi hao ni kina mama. Tofautisha kati ya kinadada na kinamama. Hao hawakosi umri juu ya 30 huoni sura zao?? Weshaondoka katika age ya udada. Tofautisha kati ya kina dada na kina mama kaka.
ReplyDeleteHivi kweli watu wengine wanakosa yakuzungumza wanazungumzia mavazi kweli,huyo anaye zungumzia suti ni mpenziwa football na huwa anaangalia game za nje ikiwa makocha wana vaa suti uwanjani ita kuwa watazamaji,wabongo tuna kasumba yakudharau kila kinachofanywa na waliokua hom kisa tu mtu yupo ulaya ama america,matokeo yake hatuoni kile tunachozungumzia ni pumba kutokana tu na ushamba wa kua nje ujione mjuaji get life dawg
ReplyDeletejamani nimefurahi sana kumuona huyo dada wa chini aliyevaa miwani ni dada yangu Ronica mimi ni mdogo wa rafiki yako tulikua tunakaa sinza lkn sasa hivi nipo uk
ReplyDeletekazi nzuri, bongo teknohama inakua....
ReplyDeletemama,mama yako mzazi
ReplyDeletekoma wee kijeba apo juu