Mambo vipi bro,Ebwana leo kwenye
tunazungumzia Hip Hop ya zamani Tanzania ilikuaje enzi hizo za wakali kama SAREHE JABIR,HARDBLASTERS,KWANZA UNIT,DIPLOMATS enzi za GWM,GANGHOST KILLERS,E.ATTACK na wengine kibao kama vipi tujumuike pamoja tukumbushane au sio,PAMOJAH.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 19, 2009

    MIMI NADHANI HIP HOP YA ZAMANI ILIKUWA NZURI KUSHINDA YA SASA

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2009

    Eeh bwana Kwanza Unit..hii picha inanikumbusha wimbo wao wa "Tucheze" Fresh G alikuwa na tongue twist flani si mchezo " na mimi Fresh G, nakula Big G, ukale samaki...." yaani si mchezo "

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...