Home
Unlabelled
nani zaidi????
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
TUPAC 4 LIFE! HE TAUGHT BIGGIE THE GAMME!
ReplyDeleteKaka michuzi, Tupac shakur ni zaidi by far. Wote tunalijua hilo. Wewe angalia tangu jamaa alipofariki mpaka sasa amehamasisha ulimwengu wa muziki kiasi gani.
ReplyDeleteNani zaidi kwa kipimo gani? Uzito, Ulefu,au UFISADI. kama UFISADI Tanzania zaidi.
ReplyDeleteInategemea unawapima kwa vipimo gani. Kwa upande wa mashairi Tupac alikuwa zaidi mara 100. Kwa upande wa hits ambazo zilikuwa zinawika kwenye madisco Big alikuwa zaidi. ubishi general kama uliouanzisha huwezi kupata mshindi.
ReplyDelete2pac bila pingamizi 2pac amekamata kote R&B yupo Poem Yupo Hardcore Rap yupo Movie yupo nakwambia hivyo sababu hujasema nani muimbaji zaidi nani zaidi 2pac zaidi kamzidi B.I.G kote hapo ila kama Battle pengine sinahuwakika B.I.G angemzidi 2pac.
ReplyDeleteSaleh Jabli zaidi anaruka kama ninja. James David.
wewe chizi nini,utashindanishaje watu ambao walishafariki.
ReplyDeletewe lazima utakuwa Msukuma, umenunua radio na ndo mara ya kwanza kusikia RAP. Zilishapitwa na wakati hizi vitu.
ReplyDeleteJamani!!...umekosa kitu cha maana cha kufanya kuendeleza maisha yako unataka kuwalinganisha hawa? Halafu iweje ukishajua kwamba huyu anamzidi yule?
ReplyDeleteGo get a life!
Hakuna zaidi! Hatma ya uhasama wao ilikuwa ni mauti! Cha msingi wadau ni kuwaombea wenzetu hawa Mwenyezi mungu awarehemu huko waliko. Tusianze kujadili mambo ambayo hayatusaidia sisi, wala hawa wenzetu waliotangulia mbele ya haki.
ReplyDeleteAkhanteni kwa kunisikiliza
Muungwana @ USA
huo uzaidi unaouzungumzia wewe ni upi?maana hawa wote sasa hivi wako kwenye makaburi,sasa uzaidi huo ni wa huko waliko au hapo awali walipokuwa hai? maana hilo swali linatatanisha sana mkuu wangu.
ReplyDeletePamoja Libenekeni.
kwa mtazamo wangu Christopher wallace na Tupac amaru Shakur walikuwa kama sawa but for reality Biggie was on top thats why 2pac creates a lot of beef to him so that to overcome the competition,kipindi kile cha beef za East coast na West Coast ilikuwa wazi upande wa east coast wanamuziki walikuwa wanafanya muziki wa biashara zaidi ya malumbano na kutukanana,the good example in lebo ya Badboy Entertainment under Sean Puffy Combs akak P Diddy alikuwa anawaongoza in way of making business than talking much,so it was hard for the west coast to compete with them so the only way to them were to create beefs on womens and many more,kama unaukumbuka wimbo wa 2pac wa Hit em up aliomtukana Notorious big na lebo ya badboys na wale wote waliokuwa wana support lebo hiyo,thats all i can say biggie was good in writing as you can listern to his past albums,2pac was a good writer too but im giving my vote to Big Poppa aka Christopher Wallace
ReplyDeleteBIG MWISHO ACHA UTANI BIG ALIKUWA ANAMWAGA MISTARI HADI SHAKUR NA DR SNOOP NA MASELA WALIKUWA WANAMUUSUDU KINOMA ALIKUW2A AKIPIGA MISELE YA NGUVU,
ReplyDeleteWALA VUMBI HAWANA KAZI YA KUFANYA KAZI UBISHI MTAKULA VUMBI SANA HADI MAKOO YAOTE UKURUTU WALA VUMBI NYIE EBU WAONE WALA VUMBI BWANA
Mithupu kuna uchaguzi wa mwanyekiti wa jumuia ya wazazi wa Taifa unafanyika leo Dodoma hivi tunamsubiri Mh.Rais wa Jamhuri ya Tanzania aje kutuongoza, mbona hutuwekeagi habari kama hizi ? hiki ni kitu kikubwa sana ati, wakazi wa huku wenyewe hatukulala jana kwa kampeni , uwe unatuhabarisha basi wengine wapenzi wakubwa wa SIASA
ReplyDeletewe mgogo acha ujinga unafikili wangapi dodoma mna net ya kuona hilo tangazo lako.issue ya big na 2pac si ya kubishana uzuri wa ughaibuni kuna record za mauzo ambazo ni kigezo cha best artist ;ingekuwa bongo ingekuwa na utata wa kujaji .mfano kati za east coast wanaume labda kundi kani ni zaidi
ReplyDeleteMakavelli the Don Killuminati a.k.a Tupac Amaru Shakur yuko juu, hakuwa na mpinzani na mpaka leo hajatokea anayeweza kufikia legacy yake!
ReplyDeleteWe miss u Pac!
unajua trust me i always see comparing two different artist is just not appropriate each has got his own skills and potentials and talent. 2pac is tyt vocally and writes songs like hell,biggie is tyt vocally but more poetic and ni mmbaya sana kwenye flossing if you know hip-hop u will undastand wht i mean.THE LEAST I CAN SAY THEY WERE TALENTED THE WORLD HAS LOST 2 BIGGEST ARTIST.R.I.P
ReplyDeleteEti mtoa hoja ni Msukuma.wee chizi nini, msukuma na rap wapi na wapi. Msukuma ni mtu wa ng'ombe,mademu-extended family na kutafuta vijisenti siyo kuvaa kata kund* na rap. Acha ushamba wako wa kanyigo.Huyo atakuwa Muhaya mwenzako kwa ubishi usio na tija mmejaliwa.
ReplyDeleteWote ni talented na kwa kuwa sina influence ya coast yoyote (east/west) nawamiss both. Ila ukimpanda mywifewangu na kutoa redioni (hit em up) nami pia ningetafuta A-K nikuondoe.
ReplyDeleteBlackmpingo
Tupac rose from the ghetto,fought for fame and fortune, and became the number one best- selling hip hop artis of all time.He was insightful and sensitive and spoke with an uncensored voice of truth.
ReplyDeleteDuring his brief life.he touched millions of young people around the world.His influence and importance have only grown in the years since his shocking,untimely death.
Rest in peace Tupac Amar shakur!
acheni longolongo nyingi jibu swali uliloulizwa ndio maana tunafeli mitihani hivihivi bila kuelewa swali linataka nini jibu hapa ni kwamba hatuwezi kuwapambanisha wafu jamani songeni mbele du!!!!!!hatari
ReplyDeleteZAIDI NI Shakur Amaru 2pac ndomana MA VYUO MAKUBWA MAREKANI HASA CALIFORNIA WANATUMIA POEM ZA 2PAC.
ReplyDeleteB.I.G Ni MTU MZURI HAPENDI BALAA ILA 2pac AMEMZIDI ALIMZIDI B.I.G kwa ZAIDI YA MASHAIRI UPIGANIAJI WA WATU WEUSI NA BLACK PANTHER JUNIOR, MOVIE ZAKE ZAIDI MPAKA LEO TIZAMENI 2pac na B.I.G NANI CD ZAKE AU DVD DOCUMENTARY ZINAUZA ZAIDI? ILA WAPO KWENYE HAKI MIE NAFIKIRI TUULIZE WENGINE HAWA WANASUBIRI HUKUMU KABURINI. MUNGU AWALAZE PEMA PEPONI. Seif
Ila Tupac hajafa.....bado yupo hai
ReplyDeleteNani zaidi? hivi kweli kuna suali hapo? wote wako futi sita kwenye udongo, uzaidi unawasaidia nini, well labda niseme big ni zaidi amechukuwa sanduku kubwa kuliko 2pak.
ReplyDeleteout of here
OUTTA TOPIC...T.I ni moto kuliko 2Pac na BIG.
ReplyDeleteukiondoa tofauti ktk staili ya kukata mashairi,hao wote walikuwa wanatofautiana ktk walengwa wa msg zao.
ReplyDeleteBIG mara kwa mara ktk interview ama nyimbo zake yeye UJUMBE wake ulikuwa ukiilenga sana Brooklyn na New Yorkers kwa ujumla lkn PAC yeye alikuwa akiilenga DUNIA.kama matatizo/umasikini,PAC alikuwa anazungumzia dunia nzima lkn yeye BIG kiini chake kilikuwa juu ya Brooklyn.
kwa hali hiyo basi,PAC is on top kwa BIG.
ILA,hivi wote hao wamefanya nini ktk kusaidia jamii zao?hakuna kati yao aliye "GAWA UMASIKINI".
we michuzi hivi unajua kinachoendelea duniani?
ReplyDeleteMauti yamewafikia sababu ya hilohilo swali lako watu wametulia leo hakuna east coast au west coast wote wako pamoja, halafu leo ndo unakuja na swali walokuwa wanaulizana over 10 years ago tena ambalo lilileta mauti yao??
think twice bro!!!
ningekuwa mimi ningetoa hii mada, we all make mistakes... admit and take corrective action
TUPAC!!! LIVE!! TUPAC FOREVER
ReplyDeletenasikia yupo hai eti jamani ni kweli??maana alikuwa anajiita makaveli huyu??
ReplyDeleteLYRICS, WRITING, COMPOSITION,TEACHING, COMFORTING, INSPIRE, PERSONALITY, HEROISM TUPAC WAS THE BEST, FOR FREESTYLE, DELIVERY BIG WAS BEST.
ReplyDeleteThere is no way you can compare these two rappers. They have two different styles as one has Westcoast style, the other one has Eastcoast style. It could make more sense if you compared rappers with the same style and that what they do in America. It is relevant to compare Jay Z and Nas as they are both from Eastcoast.
ReplyDelete