tupac na B.I.G
nimepita kijiwe kimoja sehemu za masaki na kukuta zogo moja kubwa sana kuhusu nani zaidi kati ya tupac shakur na notorious B.I.G na wadau mmeombwa mchangie mada hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 30 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 06, 2009

    TUPAC 4 LIFE! HE TAUGHT BIGGIE THE GAMME!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 06, 2009

    Kaka michuzi, Tupac shakur ni zaidi by far. Wote tunalijua hilo. Wewe angalia tangu jamaa alipofariki mpaka sasa amehamasisha ulimwengu wa muziki kiasi gani.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 06, 2009

    Nani zaidi kwa kipimo gani? Uzito, Ulefu,au UFISADI. kama UFISADI Tanzania zaidi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 06, 2009

    Inategemea unawapima kwa vipimo gani. Kwa upande wa mashairi Tupac alikuwa zaidi mara 100. Kwa upande wa hits ambazo zilikuwa zinawika kwenye madisco Big alikuwa zaidi. ubishi general kama uliouanzisha huwezi kupata mshindi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 06, 2009

    2pac bila pingamizi 2pac amekamata kote R&B yupo Poem Yupo Hardcore Rap yupo Movie yupo nakwambia hivyo sababu hujasema nani muimbaji zaidi nani zaidi 2pac zaidi kamzidi B.I.G kote hapo ila kama Battle pengine sinahuwakika B.I.G angemzidi 2pac.

    Saleh Jabli zaidi anaruka kama ninja. James David.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 06, 2009

    wewe chizi nini,utashindanishaje watu ambao walishafariki.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 06, 2009

    we lazima utakuwa Msukuma, umenunua radio na ndo mara ya kwanza kusikia RAP. Zilishapitwa na wakati hizi vitu.

    ReplyDelete
  8. Jamani!!...umekosa kitu cha maana cha kufanya kuendeleza maisha yako unataka kuwalinganisha hawa? Halafu iweje ukishajua kwamba huyu anamzidi yule?

    Go get a life!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 06, 2009

    Hakuna zaidi! Hatma ya uhasama wao ilikuwa ni mauti! Cha msingi wadau ni kuwaombea wenzetu hawa Mwenyezi mungu awarehemu huko waliko. Tusianze kujadili mambo ambayo hayatusaidia sisi, wala hawa wenzetu waliotangulia mbele ya haki.
    Akhanteni kwa kunisikiliza
    Muungwana @ USA

    ReplyDelete
  10. huo uzaidi unaouzungumzia wewe ni upi?maana hawa wote sasa hivi wako kwenye makaburi,sasa uzaidi huo ni wa huko waliko au hapo awali walipokuwa hai? maana hilo swali linatatanisha sana mkuu wangu.

    Pamoja Libenekeni.

    ReplyDelete
  11. MAC TEMBA JRJune 06, 2009

    kwa mtazamo wangu Christopher wallace na Tupac amaru Shakur walikuwa kama sawa but for reality Biggie was on top thats why 2pac creates a lot of beef to him so that to overcome the competition,kipindi kile cha beef za East coast na West Coast ilikuwa wazi upande wa east coast wanamuziki walikuwa wanafanya muziki wa biashara zaidi ya malumbano na kutukanana,the good example in lebo ya Badboy Entertainment under Sean Puffy Combs akak P Diddy alikuwa anawaongoza in way of making business than talking much,so it was hard for the west coast to compete with them so the only way to them were to create beefs on womens and many more,kama unaukumbuka wimbo wa 2pac wa Hit em up aliomtukana Notorious big na lebo ya badboys na wale wote waliokuwa wana support lebo hiyo,thats all i can say biggie was good in writing as you can listern to his past albums,2pac was a good writer too but im giving my vote to Big Poppa aka Christopher Wallace

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 06, 2009

    BIG MWISHO ACHA UTANI BIG ALIKUWA ANAMWAGA MISTARI HADI SHAKUR NA DR SNOOP NA MASELA WALIKUWA WANAMUUSUDU KINOMA ALIKUW2A AKIPIGA MISELE YA NGUVU,

    WALA VUMBI HAWANA KAZI YA KUFANYA KAZI UBISHI MTAKULA VUMBI SANA HADI MAKOO YAOTE UKURUTU WALA VUMBI NYIE EBU WAONE WALA VUMBI BWANA

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 06, 2009

    Mithupu kuna uchaguzi wa mwanyekiti wa jumuia ya wazazi wa Taifa unafanyika leo Dodoma hivi tunamsubiri Mh.Rais wa Jamhuri ya Tanzania aje kutuongoza, mbona hutuwekeagi habari kama hizi ? hiki ni kitu kikubwa sana ati, wakazi wa huku wenyewe hatukulala jana kwa kampeni , uwe unatuhabarisha basi wengine wapenzi wakubwa wa SIASA

    ReplyDelete
  14. we mgogo acha ujinga unafikili wangapi dodoma mna net ya kuona hilo tangazo lako.issue ya big na 2pac si ya kubishana uzuri wa ughaibuni kuna record za mauzo ambazo ni kigezo cha best artist ;ingekuwa bongo ingekuwa na utata wa kujaji .mfano kati za east coast wanaume labda kundi kani ni zaidi

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 06, 2009

    Makavelli the Don Killuminati a.k.a Tupac Amaru Shakur yuko juu, hakuwa na mpinzani na mpaka leo hajatokea anayeweza kufikia legacy yake!

    We miss u Pac!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 06, 2009

    unajua trust me i always see comparing two different artist is just not appropriate each has got his own skills and potentials and talent. 2pac is tyt vocally and writes songs like hell,biggie is tyt vocally but more poetic and ni mmbaya sana kwenye flossing if you know hip-hop u will undastand wht i mean.THE LEAST I CAN SAY THEY WERE TALENTED THE WORLD HAS LOST 2 BIGGEST ARTIST.R.I.P

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 06, 2009

    Eti mtoa hoja ni Msukuma.wee chizi nini, msukuma na rap wapi na wapi. Msukuma ni mtu wa ng'ombe,mademu-extended family na kutafuta vijisenti siyo kuvaa kata kund* na rap. Acha ushamba wako wa kanyigo.Huyo atakuwa Muhaya mwenzako kwa ubishi usio na tija mmejaliwa.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 06, 2009

    Wote ni talented na kwa kuwa sina influence ya coast yoyote (east/west) nawamiss both. Ila ukimpanda mywifewangu na kutoa redioni (hit em up) nami pia ningetafuta A-K nikuondoe.
    Blackmpingo

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 06, 2009

    Tupac rose from the ghetto,fought for fame and fortune, and became the number one best- selling hip hop artis of all time.He was insightful and sensitive and spoke with an uncensored voice of truth.
    During his brief life.he touched millions of young people around the world.His influence and importance have only grown in the years since his shocking,untimely death.
    Rest in peace Tupac Amar shakur!

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 06, 2009

    acheni longolongo nyingi jibu swali uliloulizwa ndio maana tunafeli mitihani hivihivi bila kuelewa swali linataka nini jibu hapa ni kwamba hatuwezi kuwapambanisha wafu jamani songeni mbele du!!!!!!hatari

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 06, 2009

    ZAIDI NI Shakur Amaru 2pac ndomana MA VYUO MAKUBWA MAREKANI HASA CALIFORNIA WANATUMIA POEM ZA 2PAC.

    B.I.G Ni MTU MZURI HAPENDI BALAA ILA 2pac AMEMZIDI ALIMZIDI B.I.G kwa ZAIDI YA MASHAIRI UPIGANIAJI WA WATU WEUSI NA BLACK PANTHER JUNIOR, MOVIE ZAKE ZAIDI MPAKA LEO TIZAMENI 2pac na B.I.G NANI CD ZAKE AU DVD DOCUMENTARY ZINAUZA ZAIDI? ILA WAPO KWENYE HAKI MIE NAFIKIRI TUULIZE WENGINE HAWA WANASUBIRI HUKUMU KABURINI. MUNGU AWALAZE PEMA PEPONI. Seif

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 06, 2009

    Ila Tupac hajafa.....bado yupo hai

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 06, 2009

    Nani zaidi? hivi kweli kuna suali hapo? wote wako futi sita kwenye udongo, uzaidi unawasaidia nini, well labda niseme big ni zaidi amechukuwa sanduku kubwa kuliko 2pak.

    out of here

    ReplyDelete
  24. Baba UbayaJune 06, 2009

    OUTTA TOPIC...T.I ni moto kuliko 2Pac na BIG.

    ReplyDelete
  25. Baba UbayaJune 06, 2009

    ukiondoa tofauti ktk staili ya kukata mashairi,hao wote walikuwa wanatofautiana ktk walengwa wa msg zao.

    BIG mara kwa mara ktk interview ama nyimbo zake yeye UJUMBE wake ulikuwa ukiilenga sana Brooklyn na New Yorkers kwa ujumla lkn PAC yeye alikuwa akiilenga DUNIA.kama matatizo/umasikini,PAC alikuwa anazungumzia dunia nzima lkn yeye BIG kiini chake kilikuwa juu ya Brooklyn.
    kwa hali hiyo basi,PAC is on top kwa BIG.

    ILA,hivi wote hao wamefanya nini ktk kusaidia jamii zao?hakuna kati yao aliye "GAWA UMASIKINI".

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 06, 2009

    we michuzi hivi unajua kinachoendelea duniani?
    Mauti yamewafikia sababu ya hilohilo swali lako watu wametulia leo hakuna east coast au west coast wote wako pamoja, halafu leo ndo unakuja na swali walokuwa wanaulizana over 10 years ago tena ambalo lilileta mauti yao??
    think twice bro!!!
    ningekuwa mimi ningetoa hii mada, we all make mistakes... admit and take corrective action

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 07, 2009

    TUPAC!!! LIVE!! TUPAC FOREVER

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 07, 2009

    nasikia yupo hai eti jamani ni kweli??maana alikuwa anajiita makaveli huyu??

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 07, 2009

    LYRICS, WRITING, COMPOSITION,TEACHING, COMFORTING, INSPIRE, PERSONALITY, HEROISM TUPAC WAS THE BEST, FOR FREESTYLE, DELIVERY BIG WAS BEST.

    ReplyDelete
  30. AnonymousJune 08, 2009

    There is no way you can compare these two rappers. They have two different styles as one has Westcoast style, the other one has Eastcoast style. It could make more sense if you compared rappers with the same style and that what they do in America. It is relevant to compare Jay Z and Nas as they are both from Eastcoast.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...