Home
Unlabelled
ngoma ya kidumbak ndani ya zenj
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ngoma za namna hii huwa mpigaji mahiri wa ngoma akikataa kupiga ngoma hupewa mwananamke kama huyo anayecheza mezani ili akapige bao kadhaa chapchap na baadaye hurudi kuja kuendeleza libeneke la ngoma.
ReplyDeletehii hatari huyo mwanaume na mwanamke ndio wakina nani ndio wachezaji shoo wao ama midadi imewapanda?
ReplyDeleteNa baiskeli nazo zilikuwepo uwiii.Hiki kilabu balaa,Wacheza shoo mhhh!!!!!!!
ReplyDeleteebana wanacheza kwa uzuri kinoma.Inaelekea hapakutosha watu walinogewa mpaka kisogoni.
ReplyDeleteAnyway-Mbona sioni watu mkikemea Kufanya haya mambo.Au mpaka mwezi wa RAMADHANI ndo mtakuja na kelele zenu za shi'ngi 10.
we mbigiri hata wewe una wajibu kukemea mabaya katika jamii.sasa unapoutaja mwezi wa ramadhani na ujumbe wako unaashiria nini? ninakuelewa kuliko unavyofikiria tumia uhuru wako vizuri,au unawachokoza nyuki?$!***|??&&&#**!!!???
ReplyDeletecheki moiga manyanga apo jicho liko nyuma uku
ReplyDeletempiga ngoma sasa nae
michuzi umeipataje izi pichazzz,ulikuwepo ktk "bar"iyo nini??
hahahahaaaa
Bro michuzi nakupongeza kwa ufukunyuku wa ngoma hasa za wazanzibar nishaona hapa ulishawahi kuleta ngoma ya ndege, bomu, msewe, kibati sunsumnia, hivi ushawahi kuona BOSO hebu tafuta mpemba asilia akupeleke wanakocheza boso na kugawana chambi kwa vurugu na pozi wallah utapenda na nyimbo zao za mikasa aloo ila utafute wale wachezaji mahiri sio wabangaizaji na wanocheza kihuni.
ReplyDelete