
DAR-ENTEBBE & KIA-ENTEBBE MARA NNE KWA WIKI
Kuanzia Julai 2, 2009 siku za kusafiri kati ya Dar na Entebbe kupitia Mwanza, vilevile kutoka Kilimanjaro kwenda Entebbe kupitia Mwanza zimeongezeka na kuwa 4 kwa wiki.
Kila Jumatatu, Alhamisi, Ijumaa na Jumapili ndege itaondoka Dar saa 12.00 asubuhi na kuondoka Entebbe saa 6.25 mchana kurudi Dar.
Ndege itaondoka Kilimanjaro saa 3.15 asubuhi na kuondoka Entebbe saa 6.25 mchana.
Kwa maelezo zaidi piga simu no.
+255 787 888 408/409/417
au
+255 22 2168000
Imetolewa na Ofisi ya Mawasiliano,
Precision Air
Imetolewa na Ofisi ya Mawasiliano,
Precision Air
Mimi ningependa kujua nauli ya Dar - Nairobi ktk kipindi hiki cha june - july na ndege inakwenda siku zipi au mara ngapi kwa wiki. Kama kuna mdau anayejua ama wahusika wa Precision Air wanisaidie kwa hilo. Nimejaribu kuangalia ktk web site yao sikuona maelezo ya nauli. Natanguliza shukrani zangu.
ReplyDeleteMdau -Dar
mdau wa dar, airline nyingi ndogo hawaonyeshi nauli ni bei gani iwe Precision au 1time.co.za, sababu ikiwa ni 'siri za kibiashara'
ReplyDeleteukitaka kujua bei nenda kwa travel agents au ofisi za airline.
Mdau
Msafiri wa kimataifa
mtoa maoni wa kwanza dar nbo fare is usd 475.00 only for Returns and one way is usd 320.00 this is for precision air or kenya airways, flight are daily seven days per week,na ni mara nne kwa siku wewe tu. karibu mda wowote usafiri upo.
ReplyDelete