
Baadhi ya wajasiliamali wadogo wakigombea kununua samaki kutoka kwa wavuvi wa Bwawa la Mindu, lililipo Manispaa ya Morogoro wakiwa wamejitosa majini ili kuwawahi kabla ya kufikishwa nchi kavu, hali hiyo inatokana na uhaba wa upatikanaji wa samaki kwa kipindi hiki kutokana na mwanga wa mwezi nyakati za usiku. Baadhi yao wanatoka maneo ya nje ya Manispaa hiyo ikiwemo Tarafa ya Mlali, iliyopo zadi kilometa 25 kutoka mjini Morogoro.

Vijana hawa wanatunga samaki wadogo kwenye kamba baada ya kuvuliwa kutoka Bwawa la Mindu la Mjini hapa, jana tayari kwa kwenda kuwauza sokoni. Hivi sasa samaki katika Bwawa hilo ni adimu kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kipindi cha mwana wa mwezi. Picha na mdau wa mji kasoro bahari, John Nditi.
Umenikumbusha home mkuu
ReplyDeleteHapo walkipo ni karibu na Iringa rd.
Kule kwenye minazi ni usawa wa mzinga jeshini wakate kulia kwake ni kijiji cha Tangeni na chuo cha IDM Mzumbe
Mwelekeo wa kushoto kwa hiyo minazi ni chuo cha SUA
Hiyo milima ndio iliyowahi kuimbwa na Mbaraka "maji ya tililika usiku na mchana"
I love the Morogoro
Its ma home
duh mtalaam unaijuajua moro kimtindo. lakini kwangu huoni ndani mi mji kasoro bahari ni kama chupi na uume!!
ReplyDeleteHawa vijana naona wanautani na Magufuli,atawashukia kama Kunguru kaona kifaranga.Mkwara wa kwanza ni kukatakata hiyo ndoana,kisha kuwaambia walale chini awatandike fimbo akumbushie enzi zake za ualimu pale Sengerema sekondari,kisha awaambie wakimbie Shule maana wametoroka shule hao.Hapo atakuwa amewahurumia sana badala ya kuwapeleka polisi kuwafungulia mashitaka.
ReplyDeletePicha na habari hii inaonyesha ni jinsi gani tanzania msoto ni wa kutisha.kweli ni the poorest country in the world.
ReplyDeleteSerikali,pls,pls