
Balozi wa Vatican nchini, Askofu Mkuu Joseph Chennoth alithibitisha Dar es Salaam jana kuwa Askofu Koda ametakiwa na kanisa kuacha utume huo mara moja na kupumzika ama kufanya shughuli binafsi za mafunzo.
Hata hivyo, Balozi huyo wa Papa hakufafanua zaidi kiini cha kuondolewa kwa Askofu Koda na ni mafundisho gani ya kanisa aliyokiuka, ingawa taarifa kutoka Same zilizolifikia gazeti hili jana zilidai kuwa amejiingiza katika mafundisho yaliyo kinyume cha imani ya Kikristo na ya Kanisa Katoliki.
Habari zaidi
Mimi binafsi ni mkatoliki, lakini kuna maadili mengi ya kanisa la katoliki huwa sikubaliani nayo.
ReplyDeleteInabidi watueleze ni kitu gani kibaya askofu ametenda mpaka akanyang'anywa madaraka. Ili na sisi tuweze kutoa mawazo yetu.
Je inakuwaje kauli ya kumsamehe aliyekosa?
Kama ni Mkatoliki ungejua ni nini maana ya "kuvuliwa madaraka", Askofu huyu alipokea misaada mingi sana ya Devil Warship akidhani kuwa itasaidia kuendeleza Jimbo lake na baadae akaanza kuudhulia vikao vyao. Kwa hali hiyo, ameenda kinyume na mafundisho ya Kanisa ukizingatia dhehebu la Devil linapingwa na Makanisa mengi hata dini zingine.
ReplyDeleteMtuambie ukweli, alikuwa kihubiri kitu gani kanisani??Kanisa linapoteza mwelekeo.Ataibuka mwingine ila huyu atanyimwa uhuru wa kuongea na kuzibwa mdomo asielezee ukweli kama ilivyokuwa kwa Sister yule wa Iringa!!!
ReplyDeleteSasa wewe anony wa kwanza, sasa kama hukubaliani na maadili mengi unafanya nini kwenye kanisa hilo? Wewe basi ni mwendaazimu.
ReplyDeleteMbona wapo maaskofu wengine ambao wamo kwenye devil worship na majina yao tunayafahamu. Afadhali kanisa lianze kujishafisha. longolongo nyingi sana.
ReplyDeleteAs of December 31st 2005, there were 557, persons having the Vatican citizenship, of which 58 Cardinals, 293 of the Clergy having status as members of the Pontifical Representations, 62 other members of the Clergy, 101 members of the Pontifical Swiss Guard and 43 other lay persons.
ReplyDeleteThe persons authorized to reside in the Vatican City maintaining their original citizenship were 246, of the aforementioned numbers.
The persons residing in buildings outside of the Vatican City in buildings exempt from expropriation and taxation were 3,100 on the above mentioned date.
What next?? kulikuwa na Orthodox then Catholics then lutheran then walokele then "Multiple of church/denomination??? then mwisho =Tatol Collapse
ReplyDeleteAudhubillah mina sheitan rajim
ReplyDeleteThe devil is a manifest enemy of man, he has made no secret that he will mislead man so that he may not even remember to thank his own Creator
Aduwin mubin au manifest enemy thats what he is
O Children of Adam...you should not worship sheitan, Verily he is a plain enemy to you..36.60
That is clear to me and the rest is up to you
Wakatabahu
May be he never went to the devil worship but was considering THE ISLAM.
ReplyDeleteni nyakati za mwisho
ReplyDeletedini ni wewe na Yesu basi,aya mengine ni misimamo tu yao binafsi na jinsi alivoamka asubuhi
inaboa saaaana,unaweza salia home kwako tu ukifikilia jinsi watu wanavofanya vituko ktk izo majengo
laaa sali zako tia timu achana kufatilia life za ao watu,yani utakuwa mpagani-usiwe na imani yoyote
kero sana
pole mtumishi wa watu
ReplyDeletendo ivo,survival of the fitest
Kanisa imara katoliki lenye misingi na sheria zake. halitayumba kwa maneno ama uamuzi wa mtu mmoja.
ReplyDeleteJust get out of here-Kaanze kakobe yako ama msikiti ama chochote.
Stable church will never shake na wewe msomaji kama mkatoliki unaona gozigozi anza.
Tuache na utaratibu wetu
Yep-Utawala wa sheria
Zilikuwapo toka enzi za adamu na hawa
Mdau wa kwanza hapo juu-
ReplyDeleteMkatoliki usiyependa maadili ya kikatoliki ni kama mwanaume unayependa mambo ya kike. Multiple personality.
Ukiona katoliki wana maadili mabovu anza
Sisis tupo yadi yesu ashushe mikono kwenye sanamu ya mbele ya kanisa
We wahi tu
Inawezekana wewe ndio huna maadili mazuri unalisingizia kanisa katoliki ama kutoelewa kwako.
Pia we are not sure kama hayo maadili unayoyasema yametoka kwa mungu ama kwa shetani
Wahini tu mtuache katoliki
For us who knows him, he did so many good things on his Jimbo, hayo mambo eti kafundisha mafundisho yaliyo nje ni unaa tu, mtu akieleza ukweli eti katoka nje ya mafundisho kwa hiyo kuficha ukweli ndio yupo ndani ya mafundisho? please they should give people break. Koda endelea na maisha yako usiwe na noma wala nini, wewe peta tu mbele kwa mbele, the life just start enjoy it, i guess you been missing a lot so now ur free, fly like a bird!!
ReplyDeletewewe anonymous 6.45am usichanganye mambo, koda ametenda mazuri na mabaya, hakuna aliyesema kuwa hama mema. sasa kama yeye aliwaambia kuwa hakosei ndo mseme hayo. kwani kabla hajawa askofu si kulikuwa na maaskofu wengine, ?? pia si kuna mapadre ambao hawajawa maaskofu?? yeye bado ni askofu., hakuumbwa kwaajili ya jimbo la same tu, atakwenda kutumikia mahali pengine, aache atakayepewa jimbo afanye kazi si kumwaga fitina.siyo anapiga kelele hoo nataka kuondoa umasikini wa watu wa upareni, nani kamwambia sisi wanafiki kiivyo???. kama si hao wakatoliki kumleta same angejua lini hilo>>???. kama kweli sisi tu katika shida kwanini anaumia sisi kupewa mwingine wa kutusaidia ???. koda ni mnafiki anajikaanga kwa mafuta yake. sijawai kuona askofu anazunguka kwenye vyombo vya habari kutafuta suluhu na mwajiri wake. kama kweli hajatendewa haki, ajue hataweza kutafuta haki kwa kuongea ovyo- koda ameingia seminary akiwa mdogo, anajua utaratibu wa wakatoliki, na anajua hata akionge a huko nje haitasaidia, njia sahihi anayo ila anakwepa kuitumia,, anaogopa nini???. basi na afunge na kuomba ili epo huyo wa fitina na chuki aliye waingia wakubwa wake na ashindwe,,, kuliko yeye kuongezea pepo wa malumbano juu yake.
ReplyDeletenafsi yake inajua ilichofanya
tuhubiri upendo na si chuki.. ikumbukwe yusfeli alimwasi mungu kwakuwa alitafuta kuonekana malaika aliye bora kuliko wenzake. koda kimsingi ni padre, tena askofu, akubali mwingine kupangiwa jimbo la same. yeye kusema anataka kuendelea kubaki same kuwaendeleza wana same ni kama kung'ang'ania madaraka- asije akafananishwa na yusfeli......tena mbaya zaidi anajua yeye aina ya kiapo alikula wakati anakabidhiwa uchungaji, sisi hatujui, wala magazeti hayajui, kamwe kelele za watu hazitamsaidia koba, ni mungu peke yake ndiyo anajua hatma ya kiumbe wake jakob koda. jakob koda kuwa karibu na mungu na sio waandishi wa habari