Home
Unlabelled
Bw. na Bi. Shundi wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Is this the former Police Commander - Semmy and Peter's dad?Yes, that was in Musoma and who knows when?
ReplyDeleteHongereni bwana na bibi Shundi, hakika Mungu ni wakushukuriwa saana tena sana. Natumai watoto wenu pia wanaiga huu mfano maana ndoa za siku hizi hatari tupu. Mungu awazidishie upendo.
ReplyDeleteAisee huyu mzee kafanana na Mkapa......, si utani!!
ReplyDeletewow you're so blessed !!! You're still look young and energetic. May God continue to bless your marriage.
ReplyDeleteMungu azidi kuwabariki miaka 50 sio mchezo, wengine hata 10 inatuwia migumu. Hebu wazee wetu mtupatie tips vijana wenu kwani mwenzenu mie naona ndoa chungu kama muarobaini. Vile sitaki mtu wakinipangia maisha yangu na pia nataka usawa kama napika lunch nataka apike dinner.
ReplyDeleteDuh 50 si mchezo, kuna wenzetu wa smal house wakiona mafanikio haya kama wajinyonge, wao ni haters wakubwa wa maendeleo ya wanandoa
ReplyDeleteHongereni,inatia moyo. Mimi ndoa yangu ina miaka 14,lakini ni taabani.Tunaburuzana tu.Labna huyo mwanamke nae alivumilia. Hebu na mimi nivumilie angalau iendelee kusonga mbele.
ReplyDeletemie naona wa kutupa darasa ni huyo mama manake kavumilia mengi na kuyaunganisha hadi kufikia miaka 50.
ReplyDelete