two things....
Home
Unlabelled
cheka unenepe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
two things....
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Super ingenuity ...
ReplyDeleteduh jamaa kila kitu ni two things involved...... nilifikiri kuwa baada ya kufa ni motoni au peponi .....
ReplyDeleteBaada ya kufa kwa HIV there r 2 things involved either ur in the heaven or hell , If ur in the heaven ur in safe but if ur in the hell ur finished forever.
ReplyDeleteNi MSG Muwe waangalifu. Ila kweli angemalizia Peponi au motoni. Pazi. ni Critic tu sie msituchukulie mengine hahaha.
ReplyDeletejamani mwenzenu sijui uelewa wangu mdogo au sijui ni nini maana nimeitazama hiyo picha hadi naona maluweluwe but sijacheka na wala sijaelewa why tumeambiwa tucheke tunenepe.....haya nisaidieni basi....as nimejaribu kutumia mbinu zote ninazotumia kwenye cartoon ya Kingo wapi
ReplyDeletevaeni kondomu jamani ukimwi unaua!....
ReplyDeleteAccent ya mshikaji ni "mpopo" haina mashaka.
ReplyDeleteIT'S FUNNY LAKINI JAMAA ALIPOTEZA MUELEKEO BAADA YA EITHER YOU KILL SOMEBODY OR SOMEBOY KILL YOU..
ReplyDeleteUJUMBE UKO WAZI. WACHANGIAJI MBUMBUMBU A.K.A. PAM - UTAANZA NA TWO THINGS LAKINI MBIO ZA SAKAFUNI HUISHIA UKINGONI = KIFO. HUYU KIJANA AMETUMIA LUGHA YA NGONJELA KUKUELEMISHENI. UTACHEKA LKN KUMBUKA UKIMWI NI TAMATI. KAMA HUMWELEWI KAJIANDIKISHE NGOMBARU - MBONA MIMI VIVA YANGU NI KESHO NA UMRI 58 WAKE 4 WTT 18 N.K?????? ACHENI UHIYO-EXTRA - kuwa ukonde basi..fabulous stuff..
ReplyDeleteThere is two things involve either you laugh or don't laugh/ I laugh!!!! and Laugh!!!! So funny.
ReplyDeleteIf you watched this video,two things are involved,either you learned or laughed,if you learned you are safe,if you laughed two things are involved either you laughed comedian thoughts or his English accent,if you laughed his thoughs you are safe,if you laughed at his accent two things are involve,either you imitate English accent or u still have your accent,if you imitate English accent you are safe but if you still use your matumbi accent just one thing is involve,white people won't understand you.They will be like excuse me?
ReplyDeleteWA ANONY WA 'Tue Jul 28, 03:51:00AM' hakika umeniacha nauguza mbavu zangu.....unatisha!! Mdau_Japan
ReplyDeleteJamaa Lengo lake ni zuri kila moja anaona hapo, labda mtoto mdogo ndio itakua shida. Ila ameboa mwishoni kumpoint mwanamke kama chanzo cha AIDS. Huu ni udhalilishaji wa Kijinsia, tuangalie full msg sio tunacheka kwa vichekesho vya mwanzo na kupoteza the whole content. Tuwe makini tunapopokea msg/ujumbe. Tujitahidi kuuelewa wote, then fanya uchambuzi kidogo tu. Mmechangia kweli bila kuliona hilo. haya watanzania, najua mmerithishwa kupenda kucheka na mizaha zaidi. Tubadilike. Kazi bado kubwa mbele yetu. UKIMWI UNATATUMALIZA.
ReplyDeleteKutumia mwanamke si ubaguzi wa jinsia kumbuka ujumbe wake umetawaliwa na sanaa zaidi hivyo alikuwa katika mchakato tuu wa kufikisha ujumbe juu ya ukimwi.
ReplyDeleteGJK
emmanel adebayo wa man city... hahaaaaaaa
ReplyDeleteGJK, bado sikubaliani na ww. Sanaa inaatakiwa ifikishe ujumbe sahihi, hasa kwenye issue sensitive kama UKIMWI nk. Sababu hapo sasa inaonekana mwanaume kama ni mhanga na wala sio chanzo, wakati ukweli ni wote chanzo tu. Inategemea. NI SUBJECTIVE ZAIDI.
ReplyDelete