DJ EDDY SALLY, DJ MASHUHURI NCHINI, AMEFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI KATIKA HOSPITALI YA MKOMBOZI JIJINI DAR AMBAKO ALILAZWA KWA MATIBABU TOKA JANA.
HABARI KUTOKA MSIBANI AMBAKO NI NYUMBANI KWA MAREHEMU SINZA KUMEKUCHA HAPA JIJINI ZINASEMA MAZISHI YATAFANYIKA KESHO KIJIJINI KWAO KISARAWE.
HAYATI DJ EDDY SALLY ATAKUMBUKWA KUWA MIONGONI MWA MA-DJ WA MWANZO KABISA NCHINI, AKIWA AMEANZIA DISCO LA SEA VIEW KABLA YA KUHAMIA LUSAKA, ZAMBIA, ALIKOTOKEA KUWA DJ WA KWANZA MMATUMBI NCHINI HUMO.
MIAKA YA 80 ALIREJEA NCHINI NA KUANZISHA LIBENEKE LA 'EM THREE DISCOTHEQUE' KWENYE UKUMBI WA KEYS HOTEL AKIWA NA DJ SWEET FRANCIS AMBAO KWA PAMOJA WALITETEMESHA JIJI KWA VIFAA VYA KISASA NA SOUND SYSTEM ILIYOKUWA BORA KULIKO ZOTE ENZI HIZO
Inna lillaah wa inna illaah rajiun. maskini alikua DJ kwenye harusi yetu mwaka 1996.
ReplyDeletepoleni sana !! ila kaka michuzi ingependeza mmatumbi huyo maana alituma burudani ya muziki miaka hiyo ungetuwekea picha yake watu wapate kumkumbuka miaka mingi imepita
ReplyDeleteMungu Ailaze Roho yake mahali pema Peponi
ReplyDeletePlease allow me to send my condolences to his family and to all music lovers,especially those who enjoyed Eddy`s good spinning of LPs.
ReplyDeleteI have just composed a list of oldies which I am sure DJ Eddy Sally used to play in the `80ties. Please log onto: http://www.playlist.com/bmpingo then scrow down to oldies. If you like what you hear, please leave a comment.
RIP DJ!
Blackmpingo
HUYO NDO ALIKUWA DJ FAST EDDY AU MWINGINE???? NAOMBA WADAU MNAOJUA MNIJULISHE..
ReplyDeleteREST IN PEACE! Kweli Eddy Sally alikuwa DJ hasa! Many fond memories! Please Michuzi kama una picha bandika.
ReplyDelete