Home
Unlabelled
dogo wa uswazi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sasa waifu mwenyewe mnenee huku miguu myembamba ka' sindano ntaacha kugonga nje kweli??!!!!!
ReplyDeleteAlas!!! Lite zoezi alilofanya limeanza kufanya kazi
ReplyDeleteKwa hali ilivyo hapo anatakiwa amwambie uongo, akimambia ukweli atamuua!!
ReplyDeletevipi dogo wa uswazi inaelekea wewe mtalam ktk fani hizi za mamsap kumchapa kidume wake!ulikulia ktk mazingira dizaini hii nini?au umeyashuhudia uswazi? mie niliwahi kuona mwanamaza fulani hivi alikuwa anampa mkong'ote husband wake,wakati husband akiwa nje anakuwa na mkwara kwa askari wenzie maana alikuwa koplo wa polisi!!hiyo niliishuhudia kwa macho nikiwa bado dogo sana wakati binti yake mkubwa anamuokoa toka mikononi mwa maza yake,mzee alikula malapa hadi nikamuonea huruma asee!!
ReplyDelete