Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2009

    sasa waifu mwenyewe mnenee huku miguu myembamba ka' sindano ntaacha kugonga nje kweli??!!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 29, 2009

    Alas!!! Lite zoezi alilofanya limeanza kufanya kazi

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 29, 2009

    Kwa hali ilivyo hapo anatakiwa amwambie uongo, akimambia ukweli atamuua!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 29, 2009

    vipi dogo wa uswazi inaelekea wewe mtalam ktk fani hizi za mamsap kumchapa kidume wake!ulikulia ktk mazingira dizaini hii nini?au umeyashuhudia uswazi? mie niliwahi kuona mwanamaza fulani hivi alikuwa anampa mkong'ote husband wake,wakati husband akiwa nje anakuwa na mkwara kwa askari wenzie maana alikuwa koplo wa polisi!!hiyo niliishuhudia kwa macho nikiwa bado dogo sana wakati binti yake mkubwa anamuokoa toka mikononi mwa maza yake,mzee alikula malapa hadi nikamuonea huruma asee!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...