Mpiga picha wa magazeti ya serikali Daily News na Habari leo Mpiganaji Fadhili na mai waifu wale Shufaa baada ya kumeremeta katika msikiti wa Mwinyimkuu Magomeni na kisha kufuatiwa na mnuso wa nguvu ukumbi wa Msasani Club Jijini Dar wikiendi ilopita

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hongera sana Fadhil,Kumbe uko Daily News now kaka!!!Haya Mungu akauongoze na akulinde na aijze rehma na amani ndoa yenu!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2009

    halooo mumependeza mashalah,, da shufaa nimependa jina lako kama la kwangu,,nawatakia maisha mema ya ndoa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 07, 2009

    mmempendeza .ila swali langu ni hivi kwa nini ma bi harusi wa kiswahili wanapambwa mpaka wanakua kama midoli na mapoda kibao
    msinishambulie wadau hili swali ni la kweli

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 07, 2009

    We ulitaka apambwe vipi???. Bibi harusi lazima abadilike awe tofauti siku ya harusi.

    Lakini maashallah mmependeza, Bibi harusi umependeza, mzuri. Hongereni. Nawatakia maisha mema katika ndoa yenu. Muepushwe na mabalaa na wawindaji wa ndoa yenu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 08, 2009

    we unayedai bi harusi lazima awe tofauti umenichekesha. Kuna tofauti kati ya ku enhance beauty ya mtu na kumfanya awe kama clown
    me na support make up 100% but iwe inaendana na rangi ya mtu na iwe incomplete color
    mambo ya kujimwagia poda mtu unakua kama umejipaka chokaa hayo sio mambo
    Again nawatakia maharusi kila la kheri kwenye ndoa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...