Home
Unlabelled
fadhili na shufaa wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera sana Fadhil,Kumbe uko Daily News now kaka!!!Haya Mungu akauongoze na akulinde na aijze rehma na amani ndoa yenu!!
ReplyDeletehalooo mumependeza mashalah,, da shufaa nimependa jina lako kama la kwangu,,nawatakia maisha mema ya ndoa
ReplyDeletemmempendeza .ila swali langu ni hivi kwa nini ma bi harusi wa kiswahili wanapambwa mpaka wanakua kama midoli na mapoda kibao
ReplyDeletemsinishambulie wadau hili swali ni la kweli
We ulitaka apambwe vipi???. Bibi harusi lazima abadilike awe tofauti siku ya harusi.
ReplyDeleteLakini maashallah mmependeza, Bibi harusi umependeza, mzuri. Hongereni. Nawatakia maisha mema katika ndoa yenu. Muepushwe na mabalaa na wawindaji wa ndoa yenu.
we unayedai bi harusi lazima awe tofauti umenichekesha. Kuna tofauti kati ya ku enhance beauty ya mtu na kumfanya awe kama clown
ReplyDeleteme na support make up 100% but iwe inaendana na rangi ya mtu na iwe incomplete color
mambo ya kujimwagia poda mtu unakua kama umejipaka chokaa hayo sio mambo
Again nawatakia maharusi kila la kheri kwenye ndoa