mdau henry kalunga na mai waifu wake angela hayuma baada ya kumeremeta leo asubuhi katika kanisa la mtakatifu petro jijini dar. wote ni wakazi wa melbourne, australia, na wapo bongo kwa vekesheni ya mai wedingi yao pamoja na fungate.
maharusi na wapambe wao - lusako na sarah
maharusi na wazazi wao
maharusi na wapambe wao wakielekea kwenye mnuso ubungo plaza




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. hongera Boaz! Nawatakia maisha mema!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 04, 2009

    Congrats angela he definately looks like deborah kalunga. Isnt that interesting that there is kifungilo connection here!!! Form 4K ( 6%MEMBER)

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 04, 2009

    Hongera sana Stainless Bozi na Mai waifu wako. Mola awajalie watoto wakuoga!

    Babao. Boston,US

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 04, 2009

    In my opinion i think brides should stick with up dos kwenye wedding day ..maana pipi harusi nywelw kama kichaa jamani

    ReplyDelete
  5. Hasira HasaraJuly 04, 2009

    Mmependeza sana. Ni jambo la kushukuru kwamba wazazi wa pande zote mbili wameweza kushuhudia tukio hilo la kheri. Mungu aibariki ndoa yenu ili muweze kuishi kwa amani.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 04, 2009

    Mmpendeza sana! Inavutia kuona vijana mnaona!

    I hope Michu hakuvaa jezi yake :)

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 04, 2009

    Hongera sana Angela!Mungu awaongoze katika ndoa yenu-Your Kifungilo young sis.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 05, 2009

    Anon. 9:41pm

    Nakubaliana na wewe kuwa bibi harusis should stick with an up or sticky hairdo, lakini ndugu can you be a little gentle? that was her wedding day, whatever you suggested about her hairdo is a little too harsh!, it's true her hair was a little messy because of the wind but, ndugu you could've been a little polite in yur comment

    ReplyDelete
  9. Mkuu LUSAKO naona mambo safi Kaka.. Hiyo "Shine" inajieleza :))
    Greetings frm Yokohama.

    ReplyDelete
  10. Picha ya katikati inaongea mambo mengi sana. hebu wadau ichunguzeni vilivyo. hata hivyo hongera zao

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 05, 2009

    Tatizo letu wabongo tumezoea ikiingia staili (mtindo)moja ya kitu basi mwataka kila mtu afanye hivyo!! Kuweni wabunifu. Dada wa watu ameamua kutoka kivyake na kujiachia nywele zake, mh! kumbe kuna watu wanataka kila bi harusi afunge yale mafurushi kichwani. Kwanza yote hayo tumeiga sisi ni watu wa "MABUTU a.k.a MKONGA, TWENDE KILIONI, TATU KICHWA na sio hivyo mnavyodhani angependeza zaidi ya alivyoamua kujipa raha. Mwacheni afurahie siku yake ya pekee!! Wanandoa nawatakia kila kheri ktk maisha yenu mapya ya ndoa.Asanteni, mdau.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 05, 2009

    Congrat's Angela,it's a blessing to get married.May God bless you and your husband.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 05, 2009

    JAMANI WATANZANIA MTAELEWA LINI. KILA STYLE NA KICHWA CHAKE. SIO LAZIMA KILA BIBI HARUSI ABEBE RIFURUSHI KICHWANI. KILA PICHA YA BIBI HARUSI TUNAYO ONA STYLE NI HIZO HIZO. MUACHENI AT LEAST AMEKUJA NA OWN STYLE KWANZA NYWELE KUPEPERUSHWA HIVYO NI SEX!!! HAMUONI HATA KWENYE MACONCET WANAWEKA UPEPO ILI NYWELE ZA WAIMBAJI KAMA MADONA, J-LO AU NRITNEY SPEAR ZINAPEPERUSHWA. WACHENI USHAMBA JAMANI. SHE LOOKA GOOD AND I LIKE IT. IT'S ABOUT TIME MNAKUWA WABUNIFU ACHENI UPDOOOS ZENU.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 05, 2009

    I definetly second the other commentators bibi harusi should definetly choose how to dress her hair and she was walking outside , u can't calm nature, its actually sexy to have flowing hair, what matters really is ur own inner peace, na her hair do, she is married wht about u madam ??

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 05, 2009

    Ricky na Angela hongera. Du Ricky naona huendi mbali mshkaji yaani nyumba chache tu mambo shwari. Anyway nadhani itakuwa easy kwa Matayo kuwa na shemeji ambaye anamjua tokea utotoni. Take it easy wengine bado tupo tupo tu - Kwame.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 06, 2009

    SAFI SANA MZEE WA MZIZIMA,TUNAKU FEEL KINOMA TOKEA MITAA HII YA KWA OBAMA.HAO WANAOMIND NYWELE KWANZA WOTE AWAJAOLEWA ACHANA NAO!!

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 06, 2009

    Duh Bestman anatafuta nini kwa jimama ilo

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 06, 2009

    Jamani nyie watoto mmekua mpaka mmeoana! am speechless kwa furaha this is very good natamani ningekuwepo maana nahisi harusi ilikua kama Dbs(drive-in brothers & sisters)reunion fulani...all the best

    much luv from your sister mtaa wa nyuma yenu..lol

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 07, 2009

    hahahahahahaaaa
    watu wachokozi?

    sasa uyo bestman na best lady wamefenyeje???

    mbona mna mawazo mgando nyie

    hahahaaaaa

    hongereni maharusi,siwajui ila mmependeza

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...