Home
Unlabelled
henry na angela wameremeta leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hongera Boaz! Nawatakia maisha mema!
ReplyDeleteCongrats angela he definately looks like deborah kalunga. Isnt that interesting that there is kifungilo connection here!!! Form 4K ( 6%MEMBER)
ReplyDeleteHongera sana Stainless Bozi na Mai waifu wako. Mola awajalie watoto wakuoga!
ReplyDeleteBabao. Boston,US
In my opinion i think brides should stick with up dos kwenye wedding day ..maana pipi harusi nywelw kama kichaa jamani
ReplyDeleteMmependeza sana. Ni jambo la kushukuru kwamba wazazi wa pande zote mbili wameweza kushuhudia tukio hilo la kheri. Mungu aibariki ndoa yenu ili muweze kuishi kwa amani.
ReplyDeleteMmpendeza sana! Inavutia kuona vijana mnaona!
ReplyDeleteI hope Michu hakuvaa jezi yake :)
Hongera sana Angela!Mungu awaongoze katika ndoa yenu-Your Kifungilo young sis.
ReplyDeleteAnon. 9:41pm
ReplyDeleteNakubaliana na wewe kuwa bibi harusis should stick with an up or sticky hairdo, lakini ndugu can you be a little gentle? that was her wedding day, whatever you suggested about her hairdo is a little too harsh!, it's true her hair was a little messy because of the wind but, ndugu you could've been a little polite in yur comment
Mkuu LUSAKO naona mambo safi Kaka.. Hiyo "Shine" inajieleza :))
ReplyDeleteGreetings frm Yokohama.
Picha ya katikati inaongea mambo mengi sana. hebu wadau ichunguzeni vilivyo. hata hivyo hongera zao
ReplyDeleteTatizo letu wabongo tumezoea ikiingia staili (mtindo)moja ya kitu basi mwataka kila mtu afanye hivyo!! Kuweni wabunifu. Dada wa watu ameamua kutoka kivyake na kujiachia nywele zake, mh! kumbe kuna watu wanataka kila bi harusi afunge yale mafurushi kichwani. Kwanza yote hayo tumeiga sisi ni watu wa "MABUTU a.k.a MKONGA, TWENDE KILIONI, TATU KICHWA na sio hivyo mnavyodhani angependeza zaidi ya alivyoamua kujipa raha. Mwacheni afurahie siku yake ya pekee!! Wanandoa nawatakia kila kheri ktk maisha yenu mapya ya ndoa.Asanteni, mdau.
ReplyDeleteCongrat's Angela,it's a blessing to get married.May God bless you and your husband.
ReplyDeleteJAMANI WATANZANIA MTAELEWA LINI. KILA STYLE NA KICHWA CHAKE. SIO LAZIMA KILA BIBI HARUSI ABEBE RIFURUSHI KICHWANI. KILA PICHA YA BIBI HARUSI TUNAYO ONA STYLE NI HIZO HIZO. MUACHENI AT LEAST AMEKUJA NA OWN STYLE KWANZA NYWELE KUPEPERUSHWA HIVYO NI SEX!!! HAMUONI HATA KWENYE MACONCET WANAWEKA UPEPO ILI NYWELE ZA WAIMBAJI KAMA MADONA, J-LO AU NRITNEY SPEAR ZINAPEPERUSHWA. WACHENI USHAMBA JAMANI. SHE LOOKA GOOD AND I LIKE IT. IT'S ABOUT TIME MNAKUWA WABUNIFU ACHENI UPDOOOS ZENU.
ReplyDeleteI definetly second the other commentators bibi harusi should definetly choose how to dress her hair and she was walking outside , u can't calm nature, its actually sexy to have flowing hair, what matters really is ur own inner peace, na her hair do, she is married wht about u madam ??
ReplyDeleteRicky na Angela hongera. Du Ricky naona huendi mbali mshkaji yaani nyumba chache tu mambo shwari. Anyway nadhani itakuwa easy kwa Matayo kuwa na shemeji ambaye anamjua tokea utotoni. Take it easy wengine bado tupo tupo tu - Kwame.
ReplyDeleteSAFI SANA MZEE WA MZIZIMA,TUNAKU FEEL KINOMA TOKEA MITAA HII YA KWA OBAMA.HAO WANAOMIND NYWELE KWANZA WOTE AWAJAOLEWA ACHANA NAO!!
ReplyDeleteDuh Bestman anatafuta nini kwa jimama ilo
ReplyDeleteJamani nyie watoto mmekua mpaka mmeoana! am speechless kwa furaha this is very good natamani ningekuwepo maana nahisi harusi ilikua kama Dbs(drive-in brothers & sisters)reunion fulani...all the best
ReplyDeletemuch luv from your sister mtaa wa nyuma yenu..lol
hahahahahahaaaa
ReplyDeletewatu wachokozi?
sasa uyo bestman na best lady wamefenyeje???
mbona mna mawazo mgando nyie
hahahaaaaa
hongereni maharusi,siwajui ila mmependeza