Tujumuike na mdau mwenzetu Samson Johnson (Chaka) kwenye ibada ya mazishi ya mpendwa mama yake jumamosi july 25 saa 12 jioni(6pm)
address
6513 Queens Chapel Rd
University park,
Md,
20782
kwa taarifa zaidi na maelekezo piga simu
202 494 8146
au
202 549 9059
asante na karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 24, 2009

    Poleni kwa kufiwa, lkn hii ibada inafanyika wapi? Tanzania, Vietnam, UK, USA, Canada....?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 24, 2009

    wee anony wa juu apo, washasema MD! i guess apo wanamanish Maryland

    ReplyDelete
  3. Tupo pamoja, Tumshukuru Mwenyezi kwa kila jambo. Bwana ametoa bwana ametwaa. Amen

    Makaya Elias, G

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 25, 2009

    MISIBA USIWE NA UBAGUZI BWANA KUNA MSIBA MICHIGANI KALAMAZOO,KUNAMSIBA SOUTH BEND INDIANA NINAFIKIRI BINADAMU WOTE NI SAWA HAKUNA TAJIRI WALA MASKINI MBELE YAKUFIWA.
    KALAMAZOO,CONCORDE TAMBARARE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...