Tujumuike na mdau mwenzetu Samson Johnson (Chaka) kwenye ibada ya mazishi ya mpendwa mama yake jumamosi july 25 saa 12 jioni(6pm)
address
6513 Queens Chapel Rd
University park,
6513 Queens Chapel Rd
University park,
Md,
20782
kwa taarifa zaidi na maelekezo piga simu
kwa taarifa zaidi na maelekezo piga simu
202 494 8146
au
202 549 9059
asante na karibuni
Poleni kwa kufiwa, lkn hii ibada inafanyika wapi? Tanzania, Vietnam, UK, USA, Canada....?
ReplyDeletewee anony wa juu apo, washasema MD! i guess apo wanamanish Maryland
ReplyDeleteTupo pamoja, Tumshukuru Mwenyezi kwa kila jambo. Bwana ametoa bwana ametwaa. Amen
ReplyDeleteMakaya Elias, G
MISIBA USIWE NA UBAGUZI BWANA KUNA MSIBA MICHIGANI KALAMAZOO,KUNAMSIBA SOUTH BEND INDIANA NINAFIKIRI BINADAMU WOTE NI SAWA HAKUNA TAJIRI WALA MASKINI MBELE YAKUFIWA.
ReplyDeleteKALAMAZOO,CONCORDE TAMBARARE