inafurahisha kuona siku hizi vijana wajasiriamali wamechangamka kiasi cha kupeleka bidhaa zao kwenye maonesho ya sabasaba katika kujitangaza. hawa ni wadau wa Bongo Street Wear ambao lebo yao inashika chati kwa chati kutokana na vionjo wanavyoandika juu ya flanazzz

I see u striker Anderson,Mtaki, Moudy na Don mzee wa kuchazita, am so proud of u guys, keep it up...i will be joining u soon, mdau Birmingham
ReplyDeletehongereni vijana, endelezeni ubunifu ila msikopi chata, mfano hiyo ya POWA ni sawa na ya PUMA!
ReplyDeleteila big up, keep hustlin...
hiyo 24/7/365 mitafutie hati miliki haraka sana, maana kampuni kubwa kama Slazenger, Puma, Adidas n.k sijaona 24/7/365 ktk T-shirt zunguka yangu yote ulimwenguni.
ReplyDeleteMdau
Kiparamoto
Mgeni-Nani-Mbagala DSM
LEBO NZURI SANA, MNAJITAHIDI SANA; ILA JITAHIDINI KUWA NA T-SHIRTS ZENYE UBORA (QUALITY). SIO T-SHIRT UNAVAA MARA 2 INAPOTEZA RANGI NA KUSHUKA MPAKA KARIBU NA MAGOTI.
ReplyDeleteQUALITY, QUALITY, QUALITY, QUALITY, QUALITY, QUALITY IS THE KEY.
Good job.Tafuten kitu kitakachoonyesha TZ ili kupeperusha bendera ya TZ maana watu wa nje hawajui kama Bongo ni TZ.
ReplyDeleteThanks
Don where is my top???.....me mnitengenezee ya "bima street" or kijiweni "Aifola".....
ReplyDeletebig up bros.....Mohd wazidi kuchana.....what r u guys eating???
ur sis wa Tallahassee, FL......