Ni katika chuo kikuu cha Voronezh State University huko Urusi ambapo wadau M.Mwinyi (shoto) na ni M.Mohammed (pili kulia) na wenzao wa nchi zingine wakijidai baada ya kuvuta ndondozzz za International law na Political science wikiendi hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2009

    Jamani Hongereni Saaaanaaaa, mimi ndio naanza libeneke la Mwaka mmoja mwezi wa tisa Masters - International Political Economy.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2009

    Poleni!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 06, 2009

    HONGERENI SAAAAAAAAAAANA,
    Mdau-Mbije,A-Kafanabo

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 06, 2009

    Hongereni sana nawatakia kila la kheri na maisha yanayoendelea.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 06, 2009

    wadau mabo yenu super
    kwa hiyo dr mwinyi usije kutusahau mambo yako yakiwa mazuri zaidi

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 06, 2009

    oya washakji mabo yenu sio mabaya hongereni sana. mimi sina chochote tunawaomba mutusaidie katika ujenzi wa taifa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 06, 2009

    hongera Bori

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 07, 2009

    yule mdau wa pajazzz uko wapi apooo

    asanteni

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 07, 2009

    dada sketi iyo...

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 08, 2009

    majoho hayo yameikunja,vp hamna pasi au mlikurupuka 2?,cku nyingine msirudie tena mje niwapatie pasi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...