Mwenyekiti wa kamati ya Miss Ilala Jackson Kalikumtima akielezea maandalizi ya Redds Miss Ilala 2009 pamoja na shughuli zitazofanyika na wadhamini

kuwaona warembo nenda:

www.missilala.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. anko sasa globu inapata na kimiso chake. Hongera sana
    mdau #6

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 26, 2009

    "SIRI YA TABASAMU LA MWANAMKE" Kazi ipo!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 26, 2009

    andaeni basi mashindano ya kukimbia, mira nk. acheni na uasherati

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 29, 2009

    huyo ANAE HUSIKA NA DEPARTMNT YA ADVERTISEMNT KAMPUNI YA REDDS NI zero,SIRI YA TABASAMU LA MWANAMKE,WHAT KIND OF THING IS THAT?hiyo pombe ni kwa wanawake tu or?HATAKAMA INATUMIKA KATIKA MAMBO YA UREMBO BT STILL SIO NENO LA KUTANGAZIA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...