twanga pepeta wakishiriki mashindano ya bendi za muziki wa dansi mwaka 2001 katika ukumbi wa vijana social hall dar. toka wakati huo hakijasikika kitu hadi hii leo na bingwa bado ni walewale sikinde ngoma ya ukae. iko haja ya kufufua mashindano hayo ambayo yalikuwa na changamoto kubwa kwa bendi kujiweka fiti katika kila idara

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2009

    Kuna umuhimu sana kwa wadau wa mziki kufufua na kuanzisha harambee ya kuzipandisha chati bendi zetu hapa bongo,kwani ni sisi watanzanian wenyewe ndio tutakao upandisha chati mziki na wanamziki wetu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...