Home
Unlabelled
mishikaki orijino
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sasa huu ni umaskini au nn?
ReplyDeleteMambo mengine ni ya kujitakia. Naona anatafuta ajari.
this is so dangerous since those exposed to risks are young who absolutely can not manage to survive in case the motorcycle goes wrong. on top of that the machine is over loaded and the drive seems not to care about the loss he can course while he seems mutual enough to know what he has to do.
ReplyDeletethis kind of people has to be identified and the law has to take its part for he is attempting to course injuries and death which in turn the government and the family members will take charge to cure those people or live in sorrow if ever accident occurs.
Haya sio mambo ya kuyachekea eti mishikaki,huyo dereva wa pikipiki hana akili,watu wanaomzunguka nao hawana akili hata aliyechukua picha hii maana vitu kama hivi sio vya kuvifumbia macho kabisa hapa kama ajali inatokea madhara yake ni makubwa na hasa kwa hao watoto taifa la kesho.baada ya kupiga picha hii ulichukua jitihada gani kuhakikisha huyo jamaa harudii tena au ndio mambo ya uzalendo na kuoneana haya?
ReplyDeleteAudhubillah
ReplyDeleteIf this is meant to be an irresponsible circus act its bad enough, if it is anything else, God forbid, the man is sacrificing his family.
Wakatabahu
ndiyo maana watu huwa wanachukia kuitwa waswahili, mtoa maoni Anonymous wa 11:04:00 ni mswahili na inabidi aone aibu. jamani huyu mpiga picha unamlaumu wa nini? yeye kapiga picha na kuionyesha dunia , hii peke yake inaonyesha ni jinsi gani ya alivyoguswa, sasa unamlaumu nani Mpiga picha,ama aliyecopy na kutumia Michuzi ama MICHUZI aliyetuwekea humu?
ReplyDeletesijui ni sehemu gani hii,hivi hawa watoto wote ni wake?kama si wake wazazi wa hawa watoto wanaona ni sawa tuu kwa hiki kitendo,au ndio ule ushamba kua na mimi mwanangu kapanda tukutuku/pikipiki,lakini wakishazaliwa watoto ni wajamii hivyo basi wanajamii wanatakiwa kuingilia kati UPUUZI HUU kwani utakapotokea msiba wa hao watoto ni wanajammii wengi tu hawatatakiwa kwenda kwenye uzalishaji na baadaye tuanze kusema kua KUNA MKONO WA MTU. HUHU FIKIRIA HII PIKIPIKI IKIDUNDA HUYO WA NYUMA ATAENDELEA KUMSHIKA HUYO MTOTO? MTOTO AKIDONDOKA MTOTO DEREVA AGEUKE NYUMA KUANGALIA KINACHOENDELEA......NI UPUMBAVU WA HALI YA JUU. EE MUNGU TUSAIDIE maana ulishatueleza kua "WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA"
ReplyDeleteHili ni swala la kukemewa sio lakuwekwa kama kichekesho.haijanifurahisha na itakuwa imewafurahisha nyie mlio hapo nyumbani mnao mchekelea huyu mwandishi aleweka na huyo mzee mwenye pikipiki na watoto kama mnavyo ita MSHIKAKI.Wadau hili swala sijui mnalionaje kama sio lakukemewa basi nina ulimwengu wakwangi mimi mwenyewe.Ningekuwa na uwezo ningeitowa hii picha kwani inadhalilisha sana.
ReplyDeleteIGNORANCE, STUPIDITY!!! - HOW CAN A SYSTEM ALLOW SUCH A MAN TO POSSESS ANY KIND OF LICENCE, LEAVE ALONE A DRIVING ONE... shame on traffic police!!!
ReplyDeleteHii ni aibu watanzania wenzangu, inaonesha jinsi gani tulivyowepesi katika kutenda bila kufikiri madhara(faida na hasara). Huyo jamaa anayejiita dereva anapaswa kuchukuliwa hatua kali ikiwa ni pamoja na kufungiwa leseni yake kabisa!! Tuaamke watanzania mambo kama haya sio tu kuyaleta ktk mtandao bali pia kuyafikisha ktk vyombo husika.Asateni.
ReplyDeleteHii ni aibu watanzania wenzangu, inaonesha jinsi gani tulivyowepesi katika kutenda bila kufikiri madhara(faida na hasara). Huyo jamaa anayejiita dereva anapaswa kuchukuliwa hatua kali ikiwa ni pamoja na kufungiwa leseni yake kabisa!! Tuaamke watanzania mambo kama haya sio tu kuyaleta ktk mtandao bali pia kuyafikisha ktk vyombo husika.Asateni.
ReplyDeletehatari tupu ikitokea ajali hapo nani wa kulaumiwa
ReplyDeleteHapo ni Uganda bongo sijawahi kuona hiyo dili,cheki viatu vilivyo na tope jekundu
ReplyDeleteFew days ago. niliandika juu ya seats belts, na nikajibiwa kuwa: "Muumba atoa, na Muumba achukua". Pia niliambiwa: "Kila kitu kimepangwa na Muumba". Kufuatia hayo majibu niliyopewa, mwacheni jamaa abebe hao watoto kama anavyopenda, kwani iwapo Muumba amewapangia kulala chini ya double diff, yote muandikayo hapa, pamoja na utekelezaji wake hautabadilisha kitu. Read between the lines before kusafisha kinywa.
ReplyDeleteBlackmpingo
Duh! Jamani kuna traffic police nchi hiyo? (mmeishaambiwa hapo ni Africa Magharibi).
ReplyDeleteNi aibu kwa kweli kwa jinsi waafrika tulivyo nyumba na kutothamini maisha ndiyo sababu watu wengi hata Tz hawajali kufunga mikanda kwenye magari yao for safety......Kila kitu huko ni "Ohhhh! Mungu kapenda...oooh! ameandikiwa.....!!!!!!!!!"
Jamani ndugu zetu mtaisha huko; mwenyezi Mungu ametupa busara ya kufikiri na maendeleo ya technologia hivyo tutumie.
Mdau Toronto Canada.
Mnao shangaa picha hii, nendeni kwa shemeji zetu uko ndiko mtashangaa zaidi. wao licha ya kubeba abilia wengi utakuta na mizigo ya ajabu mpaka utashangaa.
ReplyDeleteLicha ya abilia kama watatu wanne pia watabeba milango ama mageti makubwa. tena wanapita mbele ya trafik na awafanyi lolote !! tembea mjionee!!!
Hii lazima itakua Uganda wadau. Bongo kitu kama hiki kingekemewa hata na watembea kwa miguu au wapanda baiskeli. It can't be posibo!
ReplyDeletewatu wa usalama wako wapi kumshika huyu atakaesababisha ajali na vifo
ReplyDeleteIs this true or a joke? Can something like that possible to happen? this is the most stupid father ever!! how can you load your kids like gabbage without even a helmet. You need medical check-up coz ur brain get problem, and people says bongo tambarare!! give me a f. break what kind of tambarare is this???
ReplyDeletehivi traffic police wapo tanzania? je kuna sheria za barabarani tanzania?
ReplyDeletenow i belive povert and ignorance is too expensive