nasikia bongo wanatamba sana kwa 'mishikaki' (staili ya upakiaji wa abiria wengi kwenye pikipiki) na kusahau kuwa kuna mishikaki iliyotukuka afrika magharibi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2009

    sasa huu ni umaskini au nn?
    Mambo mengine ni ya kujitakia. Naona anatafuta ajari.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2009

    this is so dangerous since those exposed to risks are young who absolutely can not manage to survive in case the motorcycle goes wrong. on top of that the machine is over loaded and the drive seems not to care about the loss he can course while he seems mutual enough to know what he has to do.
    this kind of people has to be identified and the law has to take its part for he is attempting to course injuries and death which in turn the government and the family members will take charge to cure those people or live in sorrow if ever accident occurs.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 05, 2009

    Haya sio mambo ya kuyachekea eti mishikaki,huyo dereva wa pikipiki hana akili,watu wanaomzunguka nao hawana akili hata aliyechukua picha hii maana vitu kama hivi sio vya kuvifumbia macho kabisa hapa kama ajali inatokea madhara yake ni makubwa na hasa kwa hao watoto taifa la kesho.baada ya kupiga picha hii ulichukua jitihada gani kuhakikisha huyo jamaa harudii tena au ndio mambo ya uzalendo na kuoneana haya?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 05, 2009

    Audhubillah
    If this is meant to be an irresponsible circus act its bad enough, if it is anything else, God forbid, the man is sacrificing his family.
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 05, 2009

    ndiyo maana watu huwa wanachukia kuitwa waswahili, mtoa maoni Anonymous wa 11:04:00 ni mswahili na inabidi aone aibu. jamani huyu mpiga picha unamlaumu wa nini? yeye kapiga picha na kuionyesha dunia , hii peke yake inaonyesha ni jinsi gani ya alivyoguswa, sasa unamlaumu nani Mpiga picha,ama aliyecopy na kutumia Michuzi ama MICHUZI aliyetuwekea humu?

    ReplyDelete
  6. cKc- UKEREWEJuly 05, 2009

    sijui ni sehemu gani hii,hivi hawa watoto wote ni wake?kama si wake wazazi wa hawa watoto wanaona ni sawa tuu kwa hiki kitendo,au ndio ule ushamba kua na mimi mwanangu kapanda tukutuku/pikipiki,lakini wakishazaliwa watoto ni wajamii hivyo basi wanajamii wanatakiwa kuingilia kati UPUUZI HUU kwani utakapotokea msiba wa hao watoto ni wanajammii wengi tu hawatatakiwa kwenda kwenye uzalishaji na baadaye tuanze kusema kua KUNA MKONO WA MTU. HUHU FIKIRIA HII PIKIPIKI IKIDUNDA HUYO WA NYUMA ATAENDELEA KUMSHIKA HUYO MTOTO? MTOTO AKIDONDOKA MTOTO DEREVA AGEUKE NYUMA KUANGALIA KINACHOENDELEA......NI UPUMBAVU WA HALI YA JUU. EE MUNGU TUSAIDIE maana ulishatueleza kua "WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA"

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 05, 2009

    Hili ni swala la kukemewa sio lakuwekwa kama kichekesho.haijanifurahisha na itakuwa imewafurahisha nyie mlio hapo nyumbani mnao mchekelea huyu mwandishi aleweka na huyo mzee mwenye pikipiki na watoto kama mnavyo ita MSHIKAKI.Wadau hili swala sijui mnalionaje kama sio lakukemewa basi nina ulimwengu wakwangi mimi mwenyewe.Ningekuwa na uwezo ningeitowa hii picha kwani inadhalilisha sana.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 05, 2009

    IGNORANCE, STUPIDITY!!! - HOW CAN A SYSTEM ALLOW SUCH A MAN TO POSSESS ANY KIND OF LICENCE, LEAVE ALONE A DRIVING ONE... shame on traffic police!!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 05, 2009

    Hii ni aibu watanzania wenzangu, inaonesha jinsi gani tulivyowepesi katika kutenda bila kufikiri madhara(faida na hasara). Huyo jamaa anayejiita dereva anapaswa kuchukuliwa hatua kali ikiwa ni pamoja na kufungiwa leseni yake kabisa!! Tuaamke watanzania mambo kama haya sio tu kuyaleta ktk mtandao bali pia kuyafikisha ktk vyombo husika.Asateni.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 05, 2009

    Hii ni aibu watanzania wenzangu, inaonesha jinsi gani tulivyowepesi katika kutenda bila kufikiri madhara(faida na hasara). Huyo jamaa anayejiita dereva anapaswa kuchukuliwa hatua kali ikiwa ni pamoja na kufungiwa leseni yake kabisa!! Tuaamke watanzania mambo kama haya sio tu kuyaleta ktk mtandao bali pia kuyafikisha ktk vyombo husika.Asateni.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 05, 2009

    hatari tupu ikitokea ajali hapo nani wa kulaumiwa

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 05, 2009

    Hapo ni Uganda bongo sijawahi kuona hiyo dili,cheki viatu vilivyo na tope jekundu

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 05, 2009

    Few days ago. niliandika juu ya seats belts, na nikajibiwa kuwa: "Muumba atoa, na Muumba achukua". Pia niliambiwa: "Kila kitu kimepangwa na Muumba". Kufuatia hayo majibu niliyopewa, mwacheni jamaa abebe hao watoto kama anavyopenda, kwani iwapo Muumba amewapangia kulala chini ya double diff, yote muandikayo hapa, pamoja na utekelezaji wake hautabadilisha kitu. Read between the lines before kusafisha kinywa.
    Blackmpingo

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 05, 2009

    Duh! Jamani kuna traffic police nchi hiyo? (mmeishaambiwa hapo ni Africa Magharibi).
    Ni aibu kwa kweli kwa jinsi waafrika tulivyo nyumba na kutothamini maisha ndiyo sababu watu wengi hata Tz hawajali kufunga mikanda kwenye magari yao for safety......Kila kitu huko ni "Ohhhh! Mungu kapenda...oooh! ameandikiwa.....!!!!!!!!!"
    Jamani ndugu zetu mtaisha huko; mwenyezi Mungu ametupa busara ya kufikiri na maendeleo ya technologia hivyo tutumie.

    Mdau Toronto Canada.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 06, 2009

    Mnao shangaa picha hii, nendeni kwa shemeji zetu uko ndiko mtashangaa zaidi. wao licha ya kubeba abilia wengi utakuta na mizigo ya ajabu mpaka utashangaa.
    Licha ya abilia kama watatu wanne pia watabeba milango ama mageti makubwa. tena wanapita mbele ya trafik na awafanyi lolote !! tembea mjionee!!!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 06, 2009

    Hii lazima itakua Uganda wadau. Bongo kitu kama hiki kingekemewa hata na watembea kwa miguu au wapanda baiskeli. It can't be posibo!

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 06, 2009

    watu wa usalama wako wapi kumshika huyu atakaesababisha ajali na vifo

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 07, 2009

    Is this true or a joke? Can something like that possible to happen? this is the most stupid father ever!! how can you load your kids like gabbage without even a helmet. You need medical check-up coz ur brain get problem, and people says bongo tambarare!! give me a f. break what kind of tambarare is this???

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 07, 2009

    hivi traffic police wapo tanzania? je kuna sheria za barabarani tanzania?
    now i belive povert and ignorance is too expensive

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...