Michuzi na wadau
Naomba msaada wenu. Si unaujua ule wimbo wa
"Michael Jackson njoo...sitaki....kama hutaki nenda...''
naomba kama mnajua nani aliimba na jina la wimbo.
naomba sana msaada wenu mnisaidie hapa tutani.
Natanguliza shukurani mbele
Mdau


aliimba Bi Kidude ule wimbo
ReplyDeleteHuu wimbo hata mimi nilidhani uliimbwa na Michael Jackson mwenyewe na nilikuwa nautafuta baada ya habari za hatima yake. Basi Google ikanipeleka hapa hapa kwenye hii Globu ya Jamii - kuna mdau alitoa linki ya YouTube - wimbo huu unaitwa "There's no Stoppin' Us" na ulikuwa kwenye sinema maarufu ya break-dance iliyoitwa "Breakin'". Waimbaji ni Ollie and Jerry. Burudika hapa: http://www.youtube.com/watch?v=GSonuVwSKHE
ReplyDeleteWimbo huu unaitwa- "Breakin'... There's No Stoppin' Us" uliimbwa na Ollie and Jerry katika enzi za miaka ya 80 wakati Breakdance imekolea.Naambatanisha link ya lyrics
ReplyDeletehttp://www.lyricstime.com/ollie-jerry-breakin-there-s-no-stopping-us-lyrics.html
Mpenzi wa nyimbo za enzi hizo.
Faustine
http://drfaustine.blogspot.com/
Same question asked in 2007
ReplyDeleteCheck Issa Michuzi
Thursday February 22, 2007
Wakatabahu
Wazee wa ku-google mtashindwa hiyo kwani hayo maneno hayako kwenye lyrics. Na wale wanaopenda kujifanya mnampenda marahemu wakati ameshafariki kazi kwenu. Wimbo unaitwa Liberian Girl. hahaha Michuzi nipe $1000 yangu.
ReplyDeleteafriso ngoma ya pale msasani,dar-es-salaam
ReplyDeleteWe Anonymous Sat Jul 04, 11:08:00 PM, unaedai kupewa $1000 umekosea sana. Maneno ya kiswahili yalizomo kwenye wimbo wa Liberian girl ni "Nakupenda pia na kutaka pia mpenzi wee". Na hata hivyo kwenye wimbo wa "There is no stopping us "Hakuna neno la kiswahili hata moja ila tu watoto wa uswahilini tuliosoma kabla academy hazija anza tulikuwa tuna uonisha tu kiingereza na kiswahili kwa miito kwenye kiitikio cha wimbo wa there is no stopping us.
ReplyDeleteMimi ni mdau wa iliyokuwa Studio 35, Police Officers mess O'bay enzi hizo hata Michuzi alikuwepo we acha tu.
Breaking - Aint no Stopping Us - by Ollie & Jerry....
ReplyDeleteGood memories man, thanks!
Liberian girl ni "nakupenda pia nakutaka pia mpenzi wee". Maiko jaksoni njoo ni mwimbo mwingine
ReplyDelete