Michuzi na wadau
Naomba msaada wenu. Si unaujua ule wimbo wa
"Michael Jackson njoo...sitaki....kama hutaki nenda...''
naomba kama mnajua nani aliimba na jina la wimbo.
naomba sana msaada wenu mnisaidie hapa tutani.
Natanguliza shukurani mbele
Mdau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 04, 2009

    aliimba Bi Kidude ule wimbo

    ReplyDelete
  2. Mbeba UngaJuly 04, 2009

    Huu wimbo hata mimi nilidhani uliimbwa na Michael Jackson mwenyewe na nilikuwa nautafuta baada ya habari za hatima yake. Basi Google ikanipeleka hapa hapa kwenye hii Globu ya Jamii - kuna mdau alitoa linki ya YouTube - wimbo huu unaitwa "There's no Stoppin' Us" na ulikuwa kwenye sinema maarufu ya break-dance iliyoitwa "Breakin'". Waimbaji ni Ollie and Jerry. Burudika hapa: http://www.youtube.com/watch?v=GSonuVwSKHE

    ReplyDelete
  3. Wimbo huu unaitwa- "Breakin'... There's No Stoppin' Us" uliimbwa na Ollie and Jerry katika enzi za miaka ya 80 wakati Breakdance imekolea.Naambatanisha link ya lyrics
    http://www.lyricstime.com/ollie-jerry-breakin-there-s-no-stopping-us-lyrics.html

    Mpenzi wa nyimbo za enzi hizo.
    Faustine
    http://drfaustine.blogspot.com/

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 04, 2009

    Same question asked in 2007
    Check Issa Michuzi
    Thursday February 22, 2007
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 04, 2009

    Wazee wa ku-google mtashindwa hiyo kwani hayo maneno hayako kwenye lyrics. Na wale wanaopenda kujifanya mnampenda marahemu wakati ameshafariki kazi kwenu. Wimbo unaitwa Liberian Girl. hahaha Michuzi nipe $1000 yangu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 05, 2009

    afriso ngoma ya pale msasani,dar-es-salaam

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 05, 2009

    We Anonymous Sat Jul 04, 11:08:00 PM, unaedai kupewa $1000 umekosea sana. Maneno ya kiswahili yalizomo kwenye wimbo wa Liberian girl ni "Nakupenda pia na kutaka pia mpenzi wee". Na hata hivyo kwenye wimbo wa "There is no stopping us "Hakuna neno la kiswahili hata moja ila tu watoto wa uswahilini tuliosoma kabla academy hazija anza tulikuwa tuna uonisha tu kiingereza na kiswahili kwa miito kwenye kiitikio cha wimbo wa there is no stopping us.

    Mimi ni mdau wa iliyokuwa Studio 35, Police Officers mess O'bay enzi hizo hata Michuzi alikuwepo we acha tu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 05, 2009

    Breaking - Aint no Stopping Us - by Ollie & Jerry....


    Good memories man, thanks!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 05, 2009

    Liberian girl ni "nakupenda pia nakutaka pia mpenzi wee". Maiko jaksoni njoo ni mwimbo mwingine

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...