kamanda muhidin maalim gurumo akiongoza msondo ngoma band ambayo kwa sasa inatamba na vyombo vipya na vya kisasa ambavyo walaji wa safari lager wamechangia upatikanaji wake. hapa ni katika banda la kizota bar ndani ya viwanja vya mwalimu nyerere barabara ya kilwa rodi ambapo hutumbuiza kila jioni wakati wa maonwsho ya sabasaba 2009
papaa saidi mabera kajificha kwa nyuma wakati romanus mng'ande romario na mwenzie wakipuliza midomo ya bata
vyombo vipya na ari mpya ndani ya msondo ngoma band
mkongwe shaaban lendi akiendeleza libeneke la msondo ngoma



vyombo vipya haviongopagi



fundi mitambo wa msondo ngoma kama analia vile kwa jinsi vyombo vipya vinavyomrahihishia kazi



vyombo kama vya michael jackson enzi za uhai wake


sauti ya msondo ngoma sasa inatisha kwa vyombo vipya








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 04, 2009

    Michuzi nakuheshimu vyombo vya msondo havifikii vya Michael,Think first man.-Mdau Orlando FL.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 04, 2009

    Snare Drum ipo juu ya creti la bia ndo upya gani tena huu..

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 04, 2009

    Anon,

    Umesema kweli. Vyombo vya Michael Jackson kuvifananisha na vya Msondo ni kama kufananisha kilima nyege, Haille Sellasie Rd Oyster Bay na Mlima Kilimanjaro, Moshi. Au Ngalawa za feri na MV Titanic.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 05, 2009

    Msondo ngoma, msondo Afyaaaa, Magoma kitakita, Baba ya muziki!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...