kamanda muhidin maalim gurumo akiongoza msondo ngoma band ambayo kwa sasa inatamba na vyombo vipya na vya kisasa ambavyo walaji wa safari lager wamechangia upatikanaji wake. hapa ni katika banda la kizota bar ndani ya viwanja vya mwalimu nyerere barabara ya kilwa rodi ambapo hutumbuiza kila jioni wakati wa maonwsho ya sabasaba 2009
papaa saidi mabera kajificha kwa nyuma wakati romanus mng'ande romario na mwenzie wakipuliza midomo ya bata 







Michuzi nakuheshimu vyombo vya msondo havifikii vya Michael,Think first man.-Mdau Orlando FL.
ReplyDeleteSnare Drum ipo juu ya creti la bia ndo upya gani tena huu..
ReplyDeleteAnon,
ReplyDeleteUmesema kweli. Vyombo vya Michael Jackson kuvifananisha na vya Msondo ni kama kufananisha kilima nyege, Haille Sellasie Rd Oyster Bay na Mlima Kilimanjaro, Moshi. Au Ngalawa za feri na MV Titanic.
Msondo ngoma, msondo Afyaaaa, Magoma kitakita, Baba ya muziki!!!
ReplyDelete