Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume, akitesti Ndege Mpya ya Shirika la Ndege la Precision Air aina ya ATR 72 iliyotengenezwa nchini Ufaransa ikiwa na uwezo wa kuchukua Abiria 70 na kupewa jina la Zanzibar katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 24, 2009

    Wewe Mh. hiyo sio simulator ni ndege ya kweli utagonga shauri yako

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 24, 2009

    mhwshimiwa kidume ana test zali! safi sana, huyu jamaa ana personality kali sana, namfagilia sana anaonekana pia mstarabu fulani japo sijui ya kwake. ila mtu poa sana.mimi sio mwana siasa wala siigagilii kabisa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 24, 2009

    Truely speaking Air tanzania inabidi kujifunza toka kwa hawa jamaa wasione aibu juzi juzi waliponyang'anywa leseni hawa Precisionair waliomba ku-merge na Air tanzania wakakataa soo ni kipindi Air Tanzania inafufuka hawa jamaa watakuwa wamesha-expand kiasi ya kwamba itakuwa vigumu kwa Air Tanzania ku-catch up!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 24, 2009

    mhe naona ungechemka kidogo ungemfuata baba aliko....ooh hiyo sio pikipiki.
    hata hivyo unalazimika kuangalia zaidi hali ya kiwanja cha ndege kuliko kuzindua ndege maana sikubaliani na wanaouita uwanja wa ndege wa kimataifa.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 24, 2009

    ku testi?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 24, 2009

    uwo uwanja c wakimataifa, na uyu jamaa kishalewa apa, tena vibaya vibaya, akili yake inampa yupo kwenye pikipiki, hana personality yyt uyu, cc ndo tunaemjua, mshenzi km ao washenzi wengine

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 25, 2009

    Oooh kumbe Mzee mzima aweza rusha dege!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 25, 2009

    Hiyo ndege ni 'mpya' kweli au mpya kwa Zanzibar? Precision Air wana ndege nzuri anyway, napenda huduma zao kuliko AirTZ. Wazidi kujitahidi, la maana ni kuwa na usafiri salama na wa uhakika. uwe wa Zenj au Bongo mamoja tu. Ogopa ndege za Iran, FirePower, Uk

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...