bofya mshale kucheza video hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. haaa haaa haaa hiiii hiii michuzi bwana sa kwanini unatuvunja mbavu mzee mwenyewe dah! kwa kweli leo nimecheka hata sikutegemea kama nitachekeka namna hii du!

    ReplyDelete
  2. michuzi huja2lia wewe!

    ReplyDelete
  3. Hii kali. Lakini ningependa kuuliza Je nini hasa kinacho hamasisha mwanaume kupiga chabo katika makalio ya mwanamke? Kunaleta hisia gani hasa?? Kwanini wasipige chabo mbele???

    ReplyDelete
  4. Wote wamepata adhabu staili: Dadaa kwa kujichabosha, kakaa kwa kutokua makini katika kutoa majibu kwa bosi!

    ReplyDelete
  5. mdau uliyeuliza kwa nini wanaume hupenda kuangalia nyuma na mbele. si wanaume wote. wengine huvutiwa na matiti tu. mfano mi huwa napiga chabo kifuani pakiwa saa sita basi huwa naishiwa nguvu kabisaaaa

    ReplyDelete
  6. aah!!! tena hawa ni wa-skotish hawa, wana matatizo gani sijui.

    ReplyDelete
  7. HATA mimi namuunga mkono anon hapo juu, huwa nazimia hoteli ya mtoto(kifua)sana tu,lakini makali walaaa!ila isiwe tena pasi!!.

    ReplyDelete
  8. Hahahah, Hata mie hapo ningepiga chabo, Dah... ngoja niandika fasta hapa kabla mamsap hajatokea...
    I feel the guy kinoma... chabo pale haki yake kabisa...
    Uliyeuliza kwanini wanaume tunapenda kupiga chabo kwa makalio, jibu mbona liko wazi kabisa, Mvuto wa mwanamke mkubwa uko Nyuma, mbele rashasha tu..

    ReplyDelete
  9. Brother Michu, Tupe ndogo ndogo kama hizi. It makes a smile of the day! I like it.

    ReplyDelete
  10. Obama naye alistahili kibao kama hicho. ana bahati ...hakuwepo

    ReplyDelete
  11. maadili yamezingatiwa..

    ReplyDelete
  12. wanaongea lugha gani hawa? mbona hawaeleweki?

    ReplyDelete
  13. "Kiingereza" hicho mdau...ohooo!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...