bofya mshale kucheza video hii
Home
Unlabelled
faida ya chabozzzzzzzzzzzzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
bofya mshale kucheza video hii
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
haaa haaa haaa hiiii hiii michuzi bwana sa kwanini unatuvunja mbavu mzee mwenyewe dah! kwa kweli leo nimecheka hata sikutegemea kama nitachekeka namna hii du!
ReplyDeletemichuzi huja2lia wewe!
ReplyDeleteHii kali. Lakini ningependa kuuliza Je nini hasa kinacho hamasisha mwanaume kupiga chabo katika makalio ya mwanamke? Kunaleta hisia gani hasa?? Kwanini wasipige chabo mbele???
ReplyDeleteWote wamepata adhabu staili: Dadaa kwa kujichabosha, kakaa kwa kutokua makini katika kutoa majibu kwa bosi!
ReplyDeletemdau uliyeuliza kwa nini wanaume hupenda kuangalia nyuma na mbele. si wanaume wote. wengine huvutiwa na matiti tu. mfano mi huwa napiga chabo kifuani pakiwa saa sita basi huwa naishiwa nguvu kabisaaaa
ReplyDeletei like it
ReplyDeleteaah!!! tena hawa ni wa-skotish hawa, wana matatizo gani sijui.
ReplyDeleteHATA mimi namuunga mkono anon hapo juu, huwa nazimia hoteli ya mtoto(kifua)sana tu,lakini makali walaaa!ila isiwe tena pasi!!.
ReplyDeleteHahahah, Hata mie hapo ningepiga chabo, Dah... ngoja niandika fasta hapa kabla mamsap hajatokea...
ReplyDeleteI feel the guy kinoma... chabo pale haki yake kabisa...
Uliyeuliza kwanini wanaume tunapenda kupiga chabo kwa makalio, jibu mbona liko wazi kabisa, Mvuto wa mwanamke mkubwa uko Nyuma, mbele rashasha tu..
Brother Michu, Tupe ndogo ndogo kama hizi. It makes a smile of the day! I like it.
ReplyDeleteObama naye alistahili kibao kama hicho. ana bahati ...hakuwepo
ReplyDeletemaadili yamezingatiwa..
ReplyDeletewanaongea lugha gani hawa? mbona hawaeleweki?
ReplyDelete"Kiingereza" hicho mdau...ohooo!!!
ReplyDelete