Home
Unlabelled
JK azindua mradi mkubwa wa maji manyoni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwenye hilo jiwe la msingi naona JK nae kawa Dk au hiyo abbrev. MH. DK. jakaya kikweke inamaana gani?
ReplyDeleteHongereni Kanisa Katoliki kwa kushirikiana na wananchi katika kupambana na matatizo yao ya msingi ya kila siku. Pia Naona Kikwete Kawejka uapndeni suti zake na kuvaa vazi linalopendeza, Asante Mama Salama kwa kumpamba. na Pamba hiyo ya Kitanzania. Mdau Abdul Omari
ReplyDeleteShati la Mr. Presidaa ni kali!
ReplyDeleteHongera Kanisa Katoliki, moyo wenu wa kujitolea kwa ajili ya watu wote bila ubaguzi, ni wa kuigwa, HONGERENI SANA, JK UMEPENDEZA!!
ReplyDeletehilo shati siyo vazi la kitanzania hilo ni vszi lenye asili ya kusini mwa afrika nafikiri linatoka swaziland kutokana na prints zinafanana na za kizulu na kiswati.
ReplyDeleteHaya angalieni kazi za wamisionari za maendeleo ya watu na sio kupiga blaa blaa majukwaani ambazo hazina maendeleo. Dini yoyote ni lazima imkomboe binadamu kiroho na kimwili. hongera sana padre Coday
ReplyDeleteKanisa katoliki siku zote linajihusisha na maendeleo ya kweli katika nchi hii. huduma za maji, hospitali, wazee na watoto wasiojiweza pamoja na mashule kibao. hongereni sana huo ndio unabii wa kweli.
ReplyDeletenchi yetu inanufaika sana na misaada ya kidini,maana bila misaada ya kidini wengine tusingejua maji shule hata dispensary.mfano tu mkoa wa singida serikali huwa inautelekeza ila kuna hawa wasweden ,wadenish mungu awazidishie huwa wanasaidia sana kijijini kwetu wamejenga shule,hospital wanamatrekta wanasaidia watu kulima,wameleta mashine ya kusaga na kukoboa mahindi na vitu mbali mbali ambavyo kwa kweli wanahitaji kushukuliwa.
ReplyDeletemanyoni ziko mbili mashariki na magharibi,wabunge hawa wote wamefanana na hawana chembe hata moja ya ufisadi wanastahili pongezi.
ReplyDeleteVyombo vya kidini, NGO's na wanaharakai wanaojitolea ndio wamekuwa mstari wa mbele kuleta maendeleo ya kweli ktk jamii yetu ya watu maskini lakini serikali yao inabaki kula pesa za walipa kodi na kutanua na GX V8 zenye gharama za milioni 200 moja..
ReplyDeleteUshindi wa kishindo kweli umeingiliwa mwaka huu.
Bwana mkubwa hajaenda vekesheni Marekani muda mrefu kweli. Kranchi imekausha nauli nini lol
ReplyDeleteSHATI LA MHESH. RAIS KIKWETE LINAFANANA NA SHATI LA PAROKO WETU WA KANISA LA MAGOMENI LANGO LA JIJI PADRE BENO. K. MANGENGO MICHAEL. HONGERA MAMA SALMA KWA KUMPEZESHA MMEO MZEE MRISHO KIKWETE
ReplyDeleteKutokana na juhudi zake za kutatua mgogoro kati ya Kibaki na Odinga, Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya kilimpatia "honorary" digrii ya "doctorate"!
ReplyDeleteWaziri Mkulo alisema wawe wanalipa kodi hawa jamaa wa dini... swali je huo mradi wamelipa kodi kuleta hivyo vifaa???
ReplyDeletemnaona kuwa tuna mavazi mwanana bongo! kwa nini jk asiifanye hiyo suti kuwa 'trade mark' yake? vazi la kitanzania sio lazima kila kitu kiwe cha kitanzania bali ni ubunifu wa kukuza kitu chako kwa kuchukua kutoka huku na kule. akikubali kuifanya 'trade mark' (kwa maana hata akitembelea obama atakuwa ameivaa) basi tutaikuza na kuiita 'kikwete suit' na hivyo angaa takuwa ameacha kitu cha kukumbukwa katika historia ya utawala wake!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete