Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. wadai wa Breakthrough Business support semina yenu ina lengo zuri sana la kutufanya sisi wajasiriamali wadogo na ambao wanataka kuanza ujasiriamali kupata kujipatia kipato kwa biashara ndogo lakini yenye faida ya kutosha, Tatizo hapo hicho kiingilio ndio mzozo punguzenu kama mnaweza ili tuje wengi...

    ReplyDelete
  2. ...supu ya kuku wa kienyejii ni tamu saaanaa...

    ReplyDelete
  3. mmh kaka michuzi hebu tupe more details za hilo dili naona kama linafaa ila hujafafanua zaidi

    ReplyDelete
  4. anony hapo juu ukitaka details zaidi si ndio uende kwenye semina unalipia buku 25 tu....hahahahah

    ReplyDelete
  5. Ukitaka kula lazima ukubali kuliwa.

    ReplyDelete
  6. I applaud this intiative. Keep up the good work, Alex Mayunga.

    ReplyDelete
  7. Wazo lenu ni zuri tatizo naona mpo kwa ajiri ya gate collection sana kuliko kuelimisha walengwa. Nadhani watanzania wenye nia ya kua wafugaji mngekua mnatembelea kwenye maonesho ya nanenane ili mpate mafunzo kuhusu ufugaji tena bure kabisa

    ReplyDelete
  8. Anony hapo chini umenena mambo ya maana sana watu hawataki kabisa kwenda kwenye nanenane wnafanya wale watumishi wa taasisi mbali mbali za serikali wachukue posho za bure tu, jamani jengeni utamaduni wa kwenda kwenye Nane nane maonesho ya Kilimo...mtapata haya yote

    ReplyDelete
  9. Nadpongeza jitihada zinazofanyika kujiajiri.
    Wewe Anony wa Tue Sep 01, 04:36:00 AM unachekesha...kama unaona Elimu ghali basi jaribu ujinga...Hivi kweli mlitaka hao walimu waje wafundishe bure, wawape chai na posho..Nadhani tunapaswa kumaka Ndg zangu

    ReplyDelete
  10. naomba utuwekee namba ya simu ya breakthrough business support haionekani

    ReplyDelete
  11. wewe anony wa hapo juu Tue sep 01, 02:52 PM, issue hapo sio kufundishwa au kupewa chai na mazagazaga mengine bure, issue inakuja sisi tulio wengi hatuwezi kulipia kiasi hicho ingawa tunatamani kupata hilo darasa, uwezo wetu mdogo.

    ReplyDelete
  12. Wewe Anony Tue sep 01, 02:52 PM, mbona ishu ni rahisi....Kama huna hiyo 25,000/= na unatamani..tafuta wenzako wanne...mnachanga 5000/= kisha mmoja anawawakilisha halafu mnabuni utaratibu wa kufundishana..
    Ukiona hilo gumu unaweza ukakaa kimya kabisa mpaka hapo siku utakapopata 25,000/= uulizie hayo maarifa wanayauza sh ngapi.
    Njia ya mwisho ni kuwapigia simu wenyewe, yawezekana wana "complimentary"

    ReplyDelete
  13. Wazo ni zuri sana ila ninavyowajua ndugu zetu wa bongo, shaka kubwa inanijia huyo kuku wa kuzalisha millioni moja kwa mwaka,anataga mara sita kwa mwaka. Kwa hesabu ya karibu tu huyo kuku inabidi atage mayai 5 kwa siku kwa mwaka mzima bila kupumzika na kila yai liuzwe angalau shs 550/- Kumbe wakati wote Mnatuona mbumbu sio?

    ReplyDelete
  14. Pengine anataga mara sita kwa siku si kwa mwaka,jaribu kuhudhuria after all 25,000 is not a big deal!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...