Home
Unlabelled
kuku wa kienyeji kumbe dili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wadai wa Breakthrough Business support semina yenu ina lengo zuri sana la kutufanya sisi wajasiriamali wadogo na ambao wanataka kuanza ujasiriamali kupata kujipatia kipato kwa biashara ndogo lakini yenye faida ya kutosha, Tatizo hapo hicho kiingilio ndio mzozo punguzenu kama mnaweza ili tuje wengi...
ReplyDelete...supu ya kuku wa kienyejii ni tamu saaanaa...
ReplyDeletemmh kaka michuzi hebu tupe more details za hilo dili naona kama linafaa ila hujafafanua zaidi
ReplyDeleteanony hapo juu ukitaka details zaidi si ndio uende kwenye semina unalipia buku 25 tu....hahahahah
ReplyDeleteUkitaka kula lazima ukubali kuliwa.
ReplyDeleteI applaud this intiative. Keep up the good work, Alex Mayunga.
ReplyDeleteWazo lenu ni zuri tatizo naona mpo kwa ajiri ya gate collection sana kuliko kuelimisha walengwa. Nadhani watanzania wenye nia ya kua wafugaji mngekua mnatembelea kwenye maonesho ya nanenane ili mpate mafunzo kuhusu ufugaji tena bure kabisa
ReplyDeleteAnony hapo chini umenena mambo ya maana sana watu hawataki kabisa kwenda kwenye nanenane wnafanya wale watumishi wa taasisi mbali mbali za serikali wachukue posho za bure tu, jamani jengeni utamaduni wa kwenda kwenye Nane nane maonesho ya Kilimo...mtapata haya yote
ReplyDeleteNadpongeza jitihada zinazofanyika kujiajiri.
ReplyDeleteWewe Anony wa Tue Sep 01, 04:36:00 AM unachekesha...kama unaona Elimu ghali basi jaribu ujinga...Hivi kweli mlitaka hao walimu waje wafundishe bure, wawape chai na posho..Nadhani tunapaswa kumaka Ndg zangu
naomba utuwekee namba ya simu ya breakthrough business support haionekani
ReplyDeletewewe anony wa hapo juu Tue sep 01, 02:52 PM, issue hapo sio kufundishwa au kupewa chai na mazagazaga mengine bure, issue inakuja sisi tulio wengi hatuwezi kulipia kiasi hicho ingawa tunatamani kupata hilo darasa, uwezo wetu mdogo.
ReplyDeleteWewe Anony Tue sep 01, 02:52 PM, mbona ishu ni rahisi....Kama huna hiyo 25,000/= na unatamani..tafuta wenzako wanne...mnachanga 5000/= kisha mmoja anawawakilisha halafu mnabuni utaratibu wa kufundishana..
ReplyDeleteUkiona hilo gumu unaweza ukakaa kimya kabisa mpaka hapo siku utakapopata 25,000/= uulizie hayo maarifa wanayauza sh ngapi.
Njia ya mwisho ni kuwapigia simu wenyewe, yawezekana wana "complimentary"
Wazo ni zuri sana ila ninavyowajua ndugu zetu wa bongo, shaka kubwa inanijia huyo kuku wa kuzalisha millioni moja kwa mwaka,anataga mara sita kwa mwaka. Kwa hesabu ya karibu tu huyo kuku inabidi atage mayai 5 kwa siku kwa mwaka mzima bila kupumzika na kila yai liuzwe angalau shs 550/- Kumbe wakati wote Mnatuona mbumbu sio?
ReplyDeletePengine anataga mara sita kwa siku si kwa mwaka,jaribu kuhudhuria after all 25,000 is not a big deal!
ReplyDelete