vijana wa machozi cultural troupe ya mbagala jijini dar wakitumbuiza katika moja ya hafla kwa ngoma ya nyoka. vijana wengi hivi sasa wamejiajiri wenyewe kwa kuunda vikundi kama hivi
dada hana wasiwasi na anachokifanya
busu la chatu
vijana wa machozi wanasisimua sana wakiwa mzigoni




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Ni hatua nzuri, lakini wengi wanapendelea ngoma, muziki ,mpira ,sio kilimo, au uzalishaji na ubunifu katika sekta za viwanda. Utashangaa hata shule wengi wanaikimbia sayansi! Najua sababu kubwa ni mwamko, vitendea kazi na umasikini wetu!

    ReplyDelete
  2. ..eeh!! Kumbe Binti Machozi Lady Jayde anamiliki pia kikundi cha ngoma asilia Mbagala!!

    Sasa inabidi awapige pamba za kueleweka na vipodozi vya kutosha ili wang'are.

    ReplyDelete
  3. Yataka moyo kumpiga denda chatu.

    ReplyDelete
  4. TVZ KicartoonAugust 10, 2009

    yataka moyo kumpiga denda na huyo dada pia!
    mghhh!

    ReplyDelete
  5. Mmmh, kweli yataka moyo kama una mpenzi wako kama huyu dada halafu umle denda! Nadhani kama na yeye huyu dada ni mlaji wa ndizi kwa mpenzi wake basi ni balaa tupu.hana masihara ati.

    ReplyDelete
  6. Huyu dada mwenye heshima zake acheni vijimaneno na vitatabia kama mko kwenye pombe shop!

    ReplyDelete
  7. kwa staili hii ndio maana kila kukicha magonjwa yanajitokeza ya ajabu,kwa mtindo huu usishangae ukaingia ugonjwa wa SWINE SNAKE.kwa kumla denda chatu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...