Home
Unlabelled
kutana na machozi cultural troupe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni hatua nzuri, lakini wengi wanapendelea ngoma, muziki ,mpira ,sio kilimo, au uzalishaji na ubunifu katika sekta za viwanda. Utashangaa hata shule wengi wanaikimbia sayansi! Najua sababu kubwa ni mwamko, vitendea kazi na umasikini wetu!
ReplyDelete..eeh!! Kumbe Binti Machozi Lady Jayde anamiliki pia kikundi cha ngoma asilia Mbagala!!
ReplyDeleteSasa inabidi awapige pamba za kueleweka na vipodozi vya kutosha ili wang'are.
Yataka moyo kumpiga denda chatu.
ReplyDeleteyataka moyo kumpiga denda na huyo dada pia!
ReplyDeletemghhh!
Mmmh, kweli yataka moyo kama una mpenzi wako kama huyu dada halafu umle denda! Nadhani kama na yeye huyu dada ni mlaji wa ndizi kwa mpenzi wake basi ni balaa tupu.hana masihara ati.
ReplyDeleteHuyu dada mwenye heshima zake acheni vijimaneno na vitatabia kama mko kwenye pombe shop!
ReplyDeletekwa staili hii ndio maana kila kukicha magonjwa yanajitokeza ya ajabu,kwa mtindo huu usishangae ukaingia ugonjwa wa SWINE SNAKE.kwa kumla denda chatu.
ReplyDelete