anko nanihii akiwa na Ray C na mwandani wake Lord Izzi kwenye mnuso wa mwisho wa kila jumapili Thai village ambapo Lady Jay Dee na Machozi band wanaenda likizo ya Mwezi wa Ramadhani. Inasemekana wataporudi jukwaani baada ya mfungo watajulikana kama New Machozi band wakiwa na muonekano mpya.
anko nanihii akila pozi na wadau wa tokyo, job na wilna, thai village anapotumbuiza lady jay dee na machozi band kila jumapili
mdau wilna wa tokyo na flaviana matata na rafikiye thai village

anko nanihii akiwa na DJ bonny luv na msanii nyota wa filamu kanumba ambaye karejea freshi toka london ambako alienda kushuti muvi lake jipya




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. hapo Kanumba yupo airport?

    ReplyDelete
  2. flaviana, taratibu na hiyo mikanda ya kanchiri!

    ReplyDelete
  3. eti msanii nyota..hehe bongo kwa vituko tu

    ReplyDelete
  4. Yaani kwa watu ninaowapeeenda hapo Tanzania huyo jamaa Kanumba namwenzake Kigosi nawapenda saana,kwa jinsi wanavyojitahidi kushuti mikanda yenye mafunzo ndani yake,..Kazen buti watoto mtafika mbali na tutawasapotiii.Mdau wa Sous Korea.

    ReplyDelete
  5. Flaviana huku majuu kuna vudubwasha vya kuficha mikanda ya sindiria, pia mikanda kubandika ambayo haionekani like that tuwasiliane, maana hapo umechemsha, au ungevaa sindiria isiyo na mianda ni ushauri tu kwa nia njema, sina njia nyingine ya kukupa ujumbe.

    ReplyDelete
  6. Bonny luv kazeeka sana sio kama nilivyomwona miezi michache iliyopita sijui ni tabu za kutokulala kutwa kupiga disco au nini... afu ka mich kila siku unasafiri mwenzetu mbona unatutia wivu? na sie ukatuachia trip twende.

    ReplyDelete
  7. Hivi huyu Bonny Luv ni mtoto wa Mzee Kilosa wa Igoma by Night enzi hizo?

    ReplyDelete
  8. HIVI KUVAA SIDIRIA PIA NAKO DHAMBI AU???HADI UTIE NA KUFICHA MIKANDA ISIONEKANE MWEEEEE!!BASI TUTAFUTIENI NA VIFICHA VYUPI NAVYO PIA WATU WASIJE KUJUA BURE KAMA TUMEVAA NA VYUPI

    ReplyDelete
  9. EBU TUTOKEENI KULE NA NYIE MAJUU MAJUUU UNAFICHA MIKANDA YA SIDIRIA YAKO ILI IWEJE IT DOESNT LOOK BAD AT ALL LEAVE FLAVIANA ALONE

    ReplyDelete
  10. may b hiyo ya flaviana ni fashion kuonyesha mikanda ya sidilia.Halafu mbona nilisikia huyo bibie ray to the c ameachana na huyo bwana wa cha arusha?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...