JUMUIYA YA WATANZANIA WA UAE
inatangaza
TAARIFA YA KARAMU YA KUFUTURU RAMADHAN 2009
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania wa UAE unayofuraha ya kuwaarifu WATANZANIA WOTE wanaoishi UAE kuwa kutakuwepo na Karamu ya Kufuturu ya WATANZANIA wanaoishi UAE.
MAHALI: OFISI ZA UBALOZI MDOGO, DUBAI
TAREHE: 4 SEPTEMBA 2009 (RAMADHAN 14, 1430)
WAKATI: SAA 12.30 JIONI
WOTE MNAALIKWA
Michango toka kwenye Kampuni za Watanzania zinazofanya biashara UAE inakaribishwa kwa watakaopenda kushiriki kwenye udhamini wa karamu.
Kwa taarifa zaidi au uwasilishaji wa michango, wasiliana na mmoja wa waratibu wa maandalizi ya karamu:
Bw. MOHAMMED SHARIFF, 050 7751075
Bw. MBARAK AHMED, 050 5817770
Bw. SHABBIR DAMJI, 050 6447915
BW. ISSA MAGGIDI, 050 2270169
BW. MOHAMED MANJI 050 6455779
BW. HASSAN ABRI 050 7981478
Kwa hisani yako mpe taarifa hii Mtanzania mwingine unayemfahamu anaishi Abu Dhabi, Dubai, Sharjah, Ajman, Um Al Quwain, Ras Al Khaimah na Fujairah
Na mabwana damji na manji pia wamo...basi hatari,hizo tende zitasalimika???
ReplyDeleteJamani sio KUFUTURU ni KUFTAR..!Tunachokila ni ftar si futuru..! Futuru ni matusi kwa kitaalam ni "rectam".
ReplyDeleteSIO kuftar NI kufturu..!Kwahio kama tunachokila ni chakula basi tuseme KUCHAKULA NA SIO KULA
ReplyDelete