Senior employees of most institutions in Tanzania (particularly state or semi-state owned) are paid the so-called "sitting allowances" when they sit on committee or managerial meetings.
The payments tend to be hefty sums of money and in most cases a single "sitting allowance" is more than an average monthly income within the same institution! For years I have struggled to understand the rationale behind this practice. My feeling is that these people are paid (allowances) for doing what they are arleady paid (salaries) for doing!
The same applies to employees on official trips. It is not uncommon for people to be paid a daily alowance even when they have all subsistence costs paid for - accommodation, meals and local travel.

As i noted above, I have had a problem with this habit for many years and unless I miss something, I believe this is a clear manifestation of fraud. I would appreciate any explanation behind this multi-decade habit.
Many thanks.
Mdau Al Musoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. KAZI YA PESA SIO KUTUNZWA NI KUINGIZWA KWENYE MZUNGUKO. MASLAI NA MARUPURUPU HUWEZI KUYAONDOA NDIO YANAMVUTIA MTU KUBALI KUFANYA KAZI OFICE FULANI. MISHAHARA YA SEREKALI HAIWEZI KUWA MIKUBWA KAMWE ILA MARUPURUPU NDIO YANAHAMASISHHA KAZI. CHA MUHIMU MARUPURUPU YATOLEWE KWA HAKI N SIO YA KUJITENGENEZEA WASHA AU SEMINA ILI PESA ITOKE TUU

    ReplyDelete
  2. acha majungu bana.... kwa nini unakimbia tz ...ati kujifanya unapiga box... rudi ujaribu ku-survive na hiyo ati unaita monthly salary....

    ReplyDelete
  3. Serously!!!!! Dude, go educate yourself before saying what you are saying. Allowances to employees is categorised under fringe benefits. Hata kama ni NGO, serikali, au private sector allowances mbalimbali zinatolewa. Check allowances za UN na World Bank ambapo hata school fees mwajiri anatoa, pamoja na kumfuata wife au husband.
    Kama una tatitzo na kiwangi kinachotolewa kwa watumishi wa serikali kutokana na hali ya uchumi, thats another issue which is also debatable.

    ReplyDelete
  4. Dude una point, system hii siyo sawa. Rahisi sana kuchezea pesa ya uma. Katika private sector allowance zipo lakini sio kuzidi mishahara.

    ReplyDelete
  5. MkweliNaMuwaziAugust 31, 2009

    Acha UFALA huo, sa unafikiri si TUKALE WAPI?

    Hata Kasisi anakulia Altareni hapohapo.

    Tuache na Siting Alawansi zetu za Kukaa" Ebo!!

    ReplyDelete
  6. Abdul Juma (Mafia)August 31, 2009

    Mimi sisemi ila huku ulaya kama mtu unaenda kuhudhuria semina unalipa kiingilio kwa vile wanajua unaenda kupata elimu au kuelimika

    Bongo unakwenda kwenye semina ati unalipwa! mimi bado pata elewa hii?

    Sisemi mengi ila kuna haja ya kubadilisha tabia na mienendo ya matumizi ya fedha za walipa kodi.

    Mtu akienda safari akichelewa kurudi akija anakuja kudai malipo ya siku alizokaa zaidi.

    je wale wanaokwenda safari na wanarudi mapema baada ya kumaliza kazi wanarudisha fedha kwa vile walirudi mapema?

    And more and more!
    Bongo tambarareeeeeeeeeeeeee bwana

    ReplyDelete
  7. According to the tax laws in TZ these are taxable income however, and it is unfortunate that many officials esp in the government offices they are not taxed and are not reported by the CAG for obvious reasons!!!!!!

    ReplyDelete
  8. Kwahiyo unapenda hizo sitting and trip allowances ziondolewe kwa public servants peke yao au hata kwa wale wa private sector? I can't read your minds!

    ReplyDelete
  9. Inaonesha kweli una tatizo na hizo alawansi lakini jibu lake ni contract. ncghi za watu unaaambiwa ahead of time kuwa kazi yako itakuitaji kusafiri asilimia 25 au 50 au 75 kwa ivo allowance zinakuwa zinaunganishiwa kwenye mshahara.

    unakumbuka AIG walizidiwa ikabidi serikali ya USA iwape hela ili AIG isifilisike? lakin ikabla hata hawaja rudisha hela ya walipakodi mabosi wa AIG wakapewa bonasi!

    utajiuliza bonasi ya nini wakati wameendesha kampuni hadi mufilisi? jibu ni contract, you have to honor your contract. Kwa ivo ata bongo ni ivo ivo kama uliajiriwa lakini kazi uliambiwa ni ya kukaa u=ofisini mara unaambiwa uwende ngurudoto (or whatever that hotel is called) then hata wewe utatake ulipwe feza zaidi.

    ReplyDelete
  10. eti unalinganisha ulaya ulaya bla bla bla.,..ovyoooo

    wewe ni mTz au mzungu??

    acheni tulipwe sitting zetu na trips allowances zetu tu by the way tunatengeneza izo sera na kutetea hoja adi izo mihela zaja huku!!

    shut up

    ReplyDelete
  11. Binafsi nadhani kuna umuhimu wa kufanya mabadiliko katika mfumo. Mfumo huu unahamasisha watu wafanye vikao visivyoisha visivyo na tija ili walambe posho. Badala yake posho zifutiliwe mbali halafu mishahara iongezwe kwa kiasi kinachowiana na posho zinazotolewa hivi sasa. Nyongeza ya mishahara ikatwe kodi na PPF kama kawaida. Namna hiyo vikao vya kijinga havitakuwepo.

    ReplyDelete
  12. wewe unaonekana huna la maana. mambo ya allowance yako kila mahali. jee unataka kusema kwamba hata raisi asipewe allowance. allowance na mishahara ya tanzania ni midogo ukilinganisha jinsi wenzetu wa kenya wanavyo lipwa na husikii watu wao waki lalamika kama wewe. kenya chief justice analipwa dollar za kiamerika million moja kwa mwaka na bado anapata allowances chungu nzima. kwanini ulalamike kwa hizi senti kidogo wanazopewa hapa tanzania. acha wivu usiokuwa na maana. mimi ninajitegemea kimaisha likini sioni vibaya watu wengine wapewe hizo allowance.

    ReplyDelete
  13. wee acha fujo kwanza wewe umekimbia kujenga nchi na kupambana na ufisadi ukaamua kukimbilia maboksi kama mwanaume kweli njoo bongo jua kali tuone kama hutapenda hizo posho..hovyo hovyo tu comment zako wewe tena ukome kabisa kuharibu hali ya hewa humu hujui sisi tunakula jasho letu hovyo sana wewe....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...