Home
Unlabelled
spika na uzi mpya wa simba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wanyamwezi wote Simba wachache sana Yanga.
ReplyDeleteHata Wanyamwezi wanaoishi Morogoro na Zanzibar kama vile Ng'atingwa Padre E. Dimoso wote Simba!, kweli Simba ni Wanya-Mwezi!
ReplyDeleteni kwa shauri hao viongozi wangine wanaona sifa wakishabikia manu, barca, bwawala maini, chelisea nk. na ni kwamba hawana mapenzi na simba yanga wala costo yunioni, hata cosmo au paniafrika.
ReplyDeleteAu pangine sio washabiki wa kweli wa simba wala yanga huenda wao Ni walikuwa washabiki wa Mecco, tukuyu staz, rtc kigoma, rtc shinyanga, pulizna ambazo zote ni marehemu na sasa ivi hawana timu ya kushabikia
- je kuna ukweli wowote yanayosemwa hapa kuwa wanyamwezi wangi ni washabiki wa 'Simba'?..
ReplyDelete- Mbeya, Mwanza na Unguja ni ngome ya Yanga..
Viongozi mashuhuri wanazi wa Simba Na YANGA ni kama ifuatavyo.
ReplyDeleteSIMBA.
John Samuel Malecela
Edward lowassa
Fredirick Sumaye
Edward Sokoine
Salim Ahmed Salim
Samuel Sitta
Professor Kapuya
Rashid Mfaume Kawawa
YANGA.
Julius Nyerere
Ali Hassan Mwinyi
Jakaya Kikwete
Abeid Amman Karume
duh! kwenu unyanyembe hakuna timu? Glory hunting brigade? Yanga na Simba ni timu za wazaramo na wandengereko. Pia na wakavirondo waliozaliwa dar-es-salaam wanaweza kuwa Simba au Yanga. Wakavirondo waliozaliwa Bariadi, Mara, Igungo, Rujewa, Kantalamba, Chamwino, Same nk; support your local team, its the best way to improve competition in our game.
ReplyDeleteMdau, maji chumvi tangu asili
ameshaharibu kwenye siasa amekimbilia kujionyesha huku kutufanya tusahau.
ReplyDeletewewe mtu msafi gani,kama kuna usafi utakubali ukae nyumba ya dola elfu7 kwa mwezi??
$7000x12=98,000/year!!!
kwa nini husingetafuta ya dola2000 pale bongo ni nyumba safi tu!
$98,000 kwa pango tu! isingewasaidia wakazi wako maskini wa kutupwa wa ulambo??
Hongera sana mzee sitta tunakusubiri uje kufungua tawi hapa Washington DC.
ReplyDeleteMdau,Maji Chumvi tangu asili, Mr Umechemsha Simba na Yanga ni timu tu lakini si za makabila uliyoyataja na pia mimi naona Unakaa nyagwa. Tabora kuna Timu kama umewahi kusikia Mirambo lakini matatizo ni Tabora kiuchumi ndio tatizo si kwamba hakuna timu nakuonea uruma sana unaonekana mgeni au baba alihamishiwa Dar ndio ulizaliwa. Kwa kifupi wanyamwezi wengi Simba.
ReplyDelete