Swali la kizushi kwa wana blog wote pamoja na mkuu wa nani hii.
Hivi kwanini mwanaume anapojisaidia haja ndogo huwa akimaliza anatemea mate ile sehemu aliojisaidia?
nilikuwa naishi bongo naona wenzangu nami nikawa nafatisha toka nikiwa mdogo na sasa ni mkubwa bila kujua maana yake na niliwahi kumuuliza mmoja wa rafiki zangu hakupata jibu hadi nilipohama bongo na kuhamia nchini poland mambo ni hayo hayo.
Mwanzoni nilikuwa najua ni haya mambo ya kimatumbi tu, lkn sasa naona hata wanaume wa kizungu wanafanya hivyo. sasa sielewi kwa upande wa kina dada kama hali ni hiyo hiyo? naomba na dada zangu mnisaidie ili nifahamu.
ni hayo tu mkuu wa na ni hii naomba
usinitie kapuni kwani hiki kitu kinaniumiza kichwa.
wako mdau
phillip james
poznan, poland

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 58 mpaka sasa

  1. hahaha umeniacha hoi ni kweli kabisa.kwa kina dada wao wakimaliza tu kukojoa wanajamba kidogo sasa sijui kwanini ila we fanya uchunguzi hata kwa watoto wadogo wa kike utaona wakimaliza mkojo unafata ushuzi.
    mdau scandinavia

    ReplyDelete
  2. Sio wote. Mnaofanya hivyo mnafanya kwa mazoea tu.

    ReplyDelete
  3. unajua wakati tupo wadogo mtu akimaliza kukojoa bila kutemea mate mkojo tulikuwa tunatisha kwamba utakuwa unatoka usaha baada ya mkojo au mama yako atavimba ziwa ni hayo tu kaka sasa nimekuwa mkubwa naona yamekuwa mazoea na hasa nikiwa nimelewa

    ReplyDelete
  4. Hii ni mpya na wala sijawahi isikia na wewe anony wa kwanza, hiyo mbona kwangu haipo?

    ReplyDelete
  5. mchangiaji wa tatu a.k.a haniffun ndio katoa jibu sahihi kabisa. ni hivyo.

    ReplyDelete
  6. Huyo annony wa kwanza ni kiboko! Nimecheka ile mbaya!

    ReplyDelete
  7. Yaani huko Poland nao wanakojoa kojoa nje tu kama bongo? Mweee nilizania wao ni vyoo tu kila mahali kumbe wanajua kununa dagaa na kuchimba mihogo pia kam bongo......khaaa makubwa hayo

    ReplyDelete
  8. MIMI NATHANI WEWE UNAMINYOO (SAFURA)TOKA UTOTONI ,KAMWONE DOCTOR.

    ReplyDelete
  9. Hiyo ya kutema mate ni labda kama unakunywa pombe. Otherwise hiyo sio principle kabisa, ni matatizo yako mwenyewe

    ReplyDelete
  10. hii kitu ipo hasa kwa walevi,nadhani sababu ya pombe nyingi,mkojo nao hua mwingi,na kilevi kinapokolea,huleta kama kichefuchefu ndio maana huona mlevi anapokojoa hutema mate pia

    ReplyDelete
  11. ah ahahah duh, ama kweli humu tunajifunza mengi, kumbe kina dada wanajamba kidogo wakimaliza, duh!

    ReplyDelete
  12. hiyo habari ya ushuzi siyo all the time, ila ikitokea ni sababu unakuwa unausukuma mkojo utoke wote especially ukiwa umekubana sana

    ReplyDelete
  13. Eti wanajamba haa haaa, mimi najua demu ukimkamua vizuri ndio huwa anajamba

    ReplyDelete
  14. mara nyingi kutema mate kwenyewe huwa kunatokana na sababu ya kwamba mkojo utokapo ni wa moto,mvuke utokao ndo unasababisha wewe uteme mate baada ya kumaliza kwani unapofungua mdomo tu ile harufu inakufanya uteme mate na maranyingi utazamapo ndo utemapo. Na kwasababu wakati unakojoa huangalia sehemu moja kama sio juu au chini basi ndo hapo utemapo mate.

    Ila du na hii kali, ulikuwa unafikiria nini mpaka ukauliza?


    Ni hayo tu

    P.E.D

    ReplyDelete
  15. Mie toka mdogo najua ni kuzuia usifanyiwe kitu kibaya na watu kwa kutumia mkojo wako. kwa uchawi etc

    ReplyDelete
  16. Mimi najua zamani tulikuwa tunatema mate baada ya kukojoa kisa tuliambiwa mchawi hatoweza kuuroga mkojo wako ukiutemea mate. Tena tulikuwa tunaambiwa baada ya kutemea mate, tu-uruke then tuondoke hilo eneo....lol. Lakini kuhusu ushuzi mh, hiyo yawezekana kabisa. Unajua msichana au mwanaume akichuchukaa lazima atajamba most of the time. So kwa vile tunakojoa tukiwa tumechuchumaa, huo mkao unatu-force kujamba.

    ReplyDelete
  17. Kwanza kabisa, mahali tunapo kojoa huwa panakuwa si pasafi na pakiambatana na harufu,hivyo basi ni lazima utatema mate kwa kutokana na hiyo harufu na ule uchafu. Kwa upande wa kina dada,ushuzi hutoka kwa mtu yeyote atakae chutama a.k.a chuchumaa wakati wa kujisaidia na ndiyo maana si rahisi kusikia mwanadada ushuzi a.k.a kamponyox umemtoka hadharani kwa sisi wanaume.

    ReplyDelete
  18. Mdau wa Scandinavia umenifurahisha sana, yani sina mbavu. Lakini ukweli ni kwamba hata wasichana wakimaliza kujisaidia haja ndogo huwa wanatema mate. Nadhani ni mazoea tu. Na hii hata mm mpaka utu uzima huu natema mate nkimaliza tu shughuli yangu. Kuanzia leo ntaacha then nione nn kitanitokea.

    ReplyDelete
  19. Nyie mmeathirika tu kisaikolojiqa, mbona mi sijawahi kumaliza kukujoa nikatemea mate?

    ReplyDelete
  20. Mh! We anony wa kwanza umeniacha hoi maanake unaandika kwa kujiamini kabsaaaa! Eti wanawake wanajamba! Mi nadhani hiyo ni kwa wanawake wa ukoo wako na wa mkeo. Ndo kwanza leo naisikia toka kwako. Wape pole.

    ReplyDelete
  21. Ni tabia tuu, na ushuzi si kila mtu hutoa ushuzi akikojoa. hiyo ndo tunaiita addiction, jaribu kuacha na utazoea

    ReplyDelete
  22. alooo ww wazungu wa poland sio wazungu!wazungu wako western countries so hizo nchii za njaa sio wazungu.majuzi tu jirani yangu kasema eti pale kumehamia musuali kaa ww nilikwenda kumcheki jama.nikakuta jamaa wa bulgariaaa.sio neger kaa mimi.so naomba uelewe hao jamaaa sio wazungu .aloo dogo misupu usnibaniee kometii yangu baana maaana ushabanaa saaannaa

    ReplyDelete
  23. Hiyo tabia hata mimi ninayo. Nakumbuka nikiwa mdogo friends walikuwa wanasema ukikojoa lazima utemee mate na useme ziwa la mchawi livimbe ziwa la mama yangu lisivime. Usipo fanya hivyo mamayako yupo hatarini kuzimba ziwa. Kwa hiyo ikawa ni tabia na imekua mazoea. Sasa hivi namiaka 28, kila nikikojoa nasema hivyo na lazima nitemee mkojo mate. NI TABIA AMBOYO IMEJENGA MAZOEA.

    ReplyDelete
  24. Ibarikiwe blog ya jamii, nimecheka mpaka mbavu zinauma, Yaani huyo anon namba moja kiboko...

    ReplyDelete
  25. Nyie wadau mnaompinga huyu mdau,
    mimi najua hili hata kama kwasasa halitokei lakini liliwahi kutokea,kutema mate hasa tuliambiwa inazuia wachawi wasikuroge,,,ushuziii nao kwa wanawake au madadas inatokea mara kwa mara,,hasa ukiwa unamsugua sawasawa ni lahisi sana kujamba,,akiwa amechuchumaa au akiinuka silahisi kujizuia anatoa ka shuziis kwambaaali.Wanaume nao weeengi hufunga zipu la suruali akiwa bado hajamaliza mkojo,,na badae wengi hujikuta suruali limelowa kidogos.

    ReplyDelete
  26. Jamani wadau mbona mnaniangusha! Suala la kutema mate ilikuwa ni imani tu za hapa na pale. Kwamba mtu asijechukua mkojo wako na kukufanyia kitu mbaya. Ni kama kukata kucha usiku, ni ili usikoseee kwa sababu ya usingizi ukajikata, basi utaambiwa ni nuksi!

    ReplyDelete
  27. ZAMANI TULIKUWA TUNAAMBIWA KUWA MTOTO WA KIUME KAMA UTAKOJOA MAHALI NI BUDI UTEME MATE KWANI MSICHANA USIYEMPENDA KAMA ATAURUKA HUO MKOJO BASI NI LAZIMA UTAMWOA NA HATA KAMA HUMPENDI. KWA HIYO ILI USIOE POLYGON IKABIDI TUFUATE HUO USHAURI NA IKAWA MAZOEA HATA KWA WALE AMBAO TAYARI WAMESHAOA!

    MDAU WA KIJIJINI!

    ReplyDelete
  28. Mimi naungana na anon 26 zilikuwa ni imani potofu hivi sasa hata mimi sitemi tena. lkn kina dada hebu mjibuni swali lake kaka yenu anataka kujua kama nanyi mlikuwa au mnaendelea na imani hiyo potofu.
    mdau
    kisiju pwani

    ReplyDelete
  29. Wadau wote mnaopinga ni waongo. Kutema mate kunatokea mara kwa mara yaweza ikawa hujagundua unahisi ni sehemu ya kukojoa pia maana mnabiiisha waongo wakubwa.

    Mdau uliyeuliza swali ni kweli hii ni imani tuliyokuwa tunajengewa hapo zamani hasa watoto mkiwa mnacheza eneo mbali na home then ukaenda kukojoa labda kwa watu wa kichakani unaambiwa tema mate machawi asichukue mkojo atakufanyia kitu mbaya.

    Ni imani lakini huwa inaisha ukiamua. Ila unaweza kutema mate kutokana na harufu mbaya ya choo mara umalizipo.

    Wewe unaesema wasichana wanajamba labda mkeo na mwanao khaa hiyo kali.....

    Michuzi leo nimecheka sana

    ReplyDelete
  30. anon wa kwanza naona dada zako na mkewe ndio wana jamba wakimaliza kukojoa

    ReplyDelete
  31. Uwiiii jamani we anon wa kwanza umenimaliza mbavu zangu, humu ndani jamani kuna watu wana vipaji duh!! Kama huyu anon wa 1 amenifurahisha sana anastahili tuzo kabisa ya kutengeneza siku za watu.

    Jamani yaani hata nikijaribu kusahau inashindikana kwani nacheka hadi machozi.

    ReplyDelete
  32. Nashangaa wote mliochangia hamjazungumzia sababu kuu ya kutema mate, sijui nyie sio watanzania au ni watanzania mliokulia ughaibuni?! Ni hulka ya ki-africa na hasa kitanzania kutema mate unapohisi kinyaa baada ya kuona uchafu au kusikia harufu mbaya. Haja zote, ndogo na kubwa ni uchafu na hasa kwa ndogo tunalazimika kuiona, na kubwa tukiwa vijijini wale wasiokuwa na ustaarabu wa kujenga vyoo wanapojisaidia vichakani na hata unapokuta choo kichafu na chenye harufu. Harufu mbaya na uchafu hukuchefua mdomoni na unahisi vitu hivyo vimejichanganya kwenye mate yako, ndo maana unapomaliza unatema na kuishia ili uwe na mate fresh once again.

    ReplyDelete
  33. wanawake kujamba wakati wa haja ndogo huwa ina sababishwa na mkandamizo wa nyonga wakati unapokuwa umechutama hivyo kusababisha hewa kutoka na mara nyingi hewa hii huwa haina harufu ni full burdani inaweza kutokea au isitokee mara nyingi utokea kama mkojo umekubana sana hapo ndo ishu hii inapojipa
    mdaus canada

    ReplyDelete
  34. hivyo vitabia vidogo vidogo vya ovyoovyo mbona viko chungunzima tu lkn mmevitaja vichache....KUJITEMEA MATE KIFUANI UKIKUTANA NA ALBINO...KUINGIZA MKONO WAKO KWAPANI KISHA KUPELEKA VIDOLE PUANI MWAKO....sometimes HADI KUUJAMBIA MKONO WAKO KISHA KUUNUSA USHUZI WAKO MWENYEWE NA MENGI TU MENGINEYO KIBAO KAMA KUJIFOKOA PUANI KISHA KUONJA AAAAAA. ndio maana twasisistiza kuwa "NI MWIKO KULA AU KULISHANA KEKI KWA MIKONO

    ReplyDelete
  35. Polland lazima ukishajisaidia uteme mate tu kwavile vyoo vyao ni vichafu kama ´vya bongo tu wamepigika sana pande hizo,wee ulaya gani ile kuna mbwa wanaozurura ovyo mabarabarani bana kama bongo ma mbwakoko

    ReplyDelete
  36. Mi Nadhani Hiyo Ni Tabia Ya Mtu, Na Sio Faradhi Kutema Mate!

    ReplyDelete
  37. MDAU WA POLLAND KWA KWELI JIBU LANGU HALIPISHANA SAANA NA WADAU WENZANGU KWAMBA HAYO NI MAZOEA TU LINAKUSUMBUA SANA KICHWA KWA VILE UMEADHIRIKA KISAIKOLOJIA NA SWALA HILO, KUNA VITU VINGI SANA AMBAVYO DUNIANI VINAFANYIKA NA HAVINA MAANA YEYOTE KAMA VILE NIMEJIULIZA SANA MASWALI MENGI KWA NINI WAZUNGU WENGI HAWANYOI NYWELE ZAO ZA CHINI NA WALA WANAUME WENGI HUWA HAWAKATWI NGOZI INAYONINGINIA KWENYE UUME WAO (KUTAIRIWA?) NATUMIA LUGA HIYO KUPUNGUZA UKALI WA MANENO KWANI BLOG HII YA MKUU WA WILAYA YA NANII NI KIOO CHA JAMII, KUHUSU MDAU HUYO ALIESEMA BONGO MBWA WENGU HUZURURA ULAYA HAKUNA NAKUBALIANA NA WEWE KABISA LAKINI KWA ELIMU YA DUNIA UELEWE KITU KIMOJA KAKA YANGU DUNIA HII IMEUMBWA KWA BARAKA ZOTE NA BALAA ZOTE ILA KWA UFUPI TU NI KWAMBA MIMI PIA SIJAONA MBUGA ZA WANYAMA ULAYA KAMA BONGO VILE WALA SIJAONA BARAFU BONGO KAMA ULAYA MPAKA MAGARI YANASHINDWA KUPITA, KWA HIYO TOFAUTI ZA MABARA NA NCHI MBALI MBALI NI VITU VYA KAWAIDA SANA NDUGU YANGU, HAO MBWA KOKO WALA WASIKUTISHE BONGO NDUGU YANGU NI KAMA PEPONI ASIKWAMBIE MTU KARIBU SANA KAKA
    www.kipepeotours.com

    ReplyDelete
  38. Anon wa kwanza umenivunja mbavu yaan nacheka mpaka mbavu zimeniuma na mbaya zaidi hicho kitu kimenikaa kichwani.......nimeenda washroom kususu ile nimemaliza tu nimejikuta nimejikamua mpaka nimejimba yaan umenifanya nionekane ka chizi kule chooni....haaaahaa...U VE MADE MY DAY.

    ReplyDelete
  39. Sababu kubwa ni kwamba "ukichimba dawa" na kuinywa, kama ni kali unakuwa na tamaa (unatamani) uiteme! Kamwulize Dar Express na madereva wake hili swali atakujibu vema. Imetoka hii. Naomba niwasilishe hoja

    ReplyDelete
  40. jamani twende mbele turudi nyuma. Hizo zote ni tabia za mtu mwenyewe. Mbona hata kuna wanawake wanabeba mimba unakuta wanatema mate basi hapo utasema siku hiyo ya kutung amimba mumewe alitema mate chooni au inakuaje? wadau wote waliochangia na kusema ni IMANI mimi nakubaliana nao kabisa. Mana nakumbuka nilipokua mdogo niliambiwa mtu akikuruka utakua mfupi lakini waliniruka na nimekua mrefu mpaka.Zamani tuliambiwa ukinyooshea kaburi kidole kitaoza tumenyoosha mpaka lakini hakikuoza kwa hivyo kutema mate na hulika ya mtu. Na kama chuo ni kichafu ndio unatema mate kwa sababu ya ile harufu inaingia mdomoni
    Byee
    mdau kichaa

    ReplyDelete
  41. Ukifikiria taabu, mateso na raha zinazosababishwa na hako kajamaaa, unakua huna la kufanya zaidi ya kutema mate!

    ReplyDelete
  42. Kwa tuliokulia vijijini tulikuwa tunaambiwa ukitemea mate kwenye mkojo wako basi hupati kichocho. Ila issue ya kujamba hiyoo imenitoa stress za boxi na inabidi nimwekee camcoda mamsap wangu ili nijuwe kama akikojoa lazima ajambe kama tigger woods jana maana nikimuuliza itakuwa drama all day.
    anon wa kwanza you funny like shit.

    ReplyDelete
  43. mimi na ndugu yangu nakumbuka tulipokuwa wadogo pia tulikuwa tunafanya hivo . sijui tulikuwa tumeitoa wapi hiyo habit..na sisi ni wanawake..ila nakumbuka tuliambiwa ni kwasababu ya kichocho. lakini sasa nimekuwa naona ilikuwa tunadanganyana tuuu na pia ni mambo ua imani..
    mwajuma

    ReplyDelete
  44. Mdau huna kazi huko Poland zaidi ya kuchungulia wanaume wakikojoa?

    ReplyDelete
  45. Wooootee hamna pointi pumba tupu!!

    ReplyDelete
  46. Jamani kina baba naona mnazidi kutumaliza si kweli mwanamke anapojisaidia haja ndogo lazima ajambe labda itokee tu kwani kujamba ni swala la kawaida kwa binaadam wote. ila kama mkeo au rafiki yako wa kike wewe anon namba 1 anatabia hiyo kila ajisaidiapo basi ujue oil seal yake ushaiharibu ndio maana anajamba kila anapo jisaidia haja ndogo.
    Mwajuma kanjuyangu
    mbagala kuu

    ReplyDelete
  47. Jamani yote tisa Mkuu wa nani hii sijaona ulichochangia kwani mdau phillip amekuomba nawe uchangie kwahiyo tunakusubili kwa hamu aunenda kwa Bwana riki Abdallah atusaidie kwani anauzoefu wakujibu maswali yoyote na wadau wakalizika.
    mdau
    kisiju pwani

    ReplyDelete
  48. Huyo mdau wa kwanza ni mwisho wa maneno si kitoto....lol

    ReplyDelete
  49. Duuh Mwajuma Kanjuyangu Hiyo sasa kali binaadam ana oil seal kama gari au mashine
    mdau
    kisiju pwani

    ReplyDelete
  50. hamna sababu ya kubisha, ni kweli kabisa wanaume wakimaliza kukojoa wanatema mate, hiyo ni addiction ya utotoni, ila wanawake wakimaliza unakuta wanajamba kwa sababu tumbo linakuwa na gesi kwa kubana mkojo, na unakuta anapo chuchumaa au hata kukaa kwenye choo ndipo gesi inapotoka tumboni na si vinginevyo. huyo anayebisha kama ni mwanamke ajaribu kubana mkojo muda mrefu, na anone kama haojamba, na kama ni mwanamme amwambie mkewe afanye hivyo, just for experiment.
    Dr. muhi2

    ReplyDelete
  51. Mimi huwa siteni mate pale nilipojisaidia haja ndogo. Sijui nijaribuuu?

    ReplyDelete
  52. SIR_KAHEMAAugust 06, 2009

    HITIMISHO LANGU:
    (A)KUTEMA MATE
    MIE NAONA KUTEMA MATE BAADHI YA WATU ILITOKANA NA IMANI POTOFU UTOTONI NA WAKATI MWINGINE NI MAZINGIRA AMBAYO MTU ANAJISADIA YANAKUWA NI MACHAFU SANA.

    (B)KUJAMBA
    KUJAMBA MWISHO WA KUKOJOA HUWA INATOKEA KWA YEYOTE HILI LINATOKANA NA MTU KULAZIMISHA AMALIZE MKOJO WOTE(KUJIKAMUA MKOJO)UNAPOJIKAMUA UNAKUWA UNAGANDAMIZA TUMBO UPEPO LAZIMA UTOKE,ILA KINA DADA KUTOKANA NA STAILI YA KUCHUCHUMAA BASI KWAO NDO INAKUWA WEPESI ZAIDI KUTOA UPEPO KULIKO JINSIA YA KIUME.

    ReplyDelete
  53. KUJAMBA WAKATI WA KUKOJOA INATOKANA NA KULAZIMISHA KUMALIZA MKOJO AMBAO HUPO MBALI HII INAWEZA TOKEA KWA MTU YEYOTE ATAKAYE CHUCHUMAA AWE MWANAMKE AU MWANAUME, SEMA WANAUME WENGI UWA WANASIMAMA NDIO MAANA DADA ZETU WANA POSSIBILITY KUBWA YA KUMALIZA NA KUJAMBA NA WAKATI MWINGINE WANAHAMUA KUMALIZIA NA HAJA KUBWA KABISA NDO MAANA WENGI WANAENDA NA MAJI KAMA AKIBA.

    ReplyDelete
  54. anonymous wa 08:25 umejuaje wamesha aribu yako nini naonekana uzoefu unao ati.

    ReplyDelete
  55. Mheshimiwa Mwajuma Kanjuyangu mimi
    ni mwanamke mwenzio.Toka nipo mdogo hadi sasa ukubwani nikimaliza kukojoa mara nyingi lazima nitoe ushuzi kidogo.Valvu yangu(rectal valve) haijawahi kuchezewa na mwanaume yeyote katika maisha yangu yote.
    Hayo ndivyo yalivyo maumbile yetu sisi kinadada.Wengiwetu tukimaliza
    kukojoa(mkojo)utasikia b-u-u-uuu.
    Inasaidia sana ki-afya pia.Ukiibana
    hiyo gas itakusumbua uzeeni
    Mwanaisha Mikidadi

    ReplyDelete
  56. Mimi huwa natema mate lakini ni kabla ya kukojoa si baada kama wewe!

    ReplyDelete
  57. hizo ni imani za kishirikina kwamba usipotema mate utafanyiwa kitu mbaya. kuna watu watabisha lakini ndivyo ilivyo. kwa mfano ndugu zangu watani kule kwenye migebuka WALIKUWA wanamini kuwa ukichukua unyoya wa mkia wa mbayuwayu ukachomeka alipokojoa mtu wa jinsia ya kike,mtu huyo lakini akupende ha ha ndugu zangu hao ndio walioanzisha hugging hapa nchini (bhabhooo au wawooo) sijui waliiga kwa nani lakini ni true stori

    ReplyDelete
  58. kukojoa na kutema mate ni imani tu.

    kukojoa na kujamba huwani hewa inayotoka ukeni na si matakoni kama hamjui ndo ukweli wenyewe.ndo kawaida ya wanawake wakikaa position kama hizo hewa hutoka ukeni na sio kujamba mnavyoelewa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...