more katuniz...
*TRL: Tanzania Railways Limited

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Jamani sio kwamba nabagua,ila popote wanapokuwepo hawa jamaa kuna shida. Hawa jamaa wanaasili ya ubaguzi, na dharau. Sijui kwanini serikali inaendelea kuwapa nafasi ilihali wanajua tabia zao. Wanalipa mishahara midogo, wanahakikisha wewe ni masikini wakati wote.
    Jamni tuliofanya kazi walipo hawa jamaa, tunahitaji sifa ya uvumilivu. Lakini kama wameshindwa huko kwakokwanini wanakuja kutudhalilisha kwenye nchi yetu wenyewe.
    Utasikia Jumaa,kafanye hiki, juma kafanye hiki,hujamaliza kafanye kile mwishowe unaanza kuzarauliwa, wewe hujui kazi, wewe...Utumwa unarudi nchini kinyemela.

    ReplyDelete
  2. Aksante kwa kuni tafsiria TRL maana siko nyumbani kwa muda mrefu nafahamu TRC.Nakupongeza kwa katuni ya kueleweka maana kuna katuni huwa hazieleweki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...