Wadau,
You are invited to attend the Inaugural Convention of Tanzanians in the American Diaspora which will be held in Houston, Texas on October 1 – 4, 2009 at the Renaissance Hotel Greenway Plaza.
The Deadline for Registration to participate in the Convention is Thursday,October 1st 2009 at 9pm CT.
There will be no exceptions.
For more information please visit
See you there.......!
Diaspora COUNCIL of Tanzania, hii haijatulia hata kidogo.
ReplyDeleteMheshimiwa JK atakuwepo, watanzania mzikose nafasi ya kusalimiana na Rais
ReplyDeleteUsanii tu huo
ReplyDeleteProfessor Tenende na wasanii wenzako, ubunge haupatikani kwa kupiga picha na Rais kwenye majukwaa.....Nendeni mkahamasishe Chama kuanzia ngazi ya shina....msitake kudandia basi kwa mbele mtaumia.....HABARI NDIYO HIYO
ReplyDeleteTulikuwa wapi siku zote mpaka Richmond wanauza kanya boya hapohapo TX?
ReplyDelete"Unga wenyewe robo kilo tutakulaje wote?" au ndio tutalambana mikono?
Tunajua nafasi za maendeleo zipo, lakini nani atakubali kumfaidisha mwingine wakati na yeye yupo kwenye foleni ya kusubiri mlo?
Ni maoni yangu tu,yangu macho!!!
Anonymous wa Tue Sep 29, 05:50:00 PM umenena. Kipeperushi cha tangazo la DICOTA kinasema "Recently, the Minister of Foreign Affairs and International Cooperation, Mr. Bernard Membe, announced in Parliament that the government is expecting to form an institution for Tanzanians in the Diaspora to enable them to participate in the country's development activities. Kwa kuwa ni chombo cha serikali ina maana kitakuwa na kazi ya kutekeleza sera za serikali badala ya kuwa chachu ya kuibua fikra mbadala na kuunganisha nguvu ili kuliwezesha taifa letu kujitegemea.
ReplyDeleteDon't lie to people, JK is not going to attend this event due to a tight schedule. If you have any updates please post it here!
ReplyDeleteNi wazo zuri kuwa na hiki chama, nawapongeza waanzilishi, ila sijui kama manufaa ni ya wote.
ReplyDeleteMaana inawezekana tunajumuishwa pamoja kwa manufaa ya wachache( changa la macho).
Siku za nyuma baadhi ya viongozi wa nchi yetu wakifika USA hukaribishwa majumbani kwa watu fulani na wanaitana wao kwa wao(Baadhi hawa waanzilishi)kuzungumzia faida zao binafsi na sio manufaa ya jumuiya husika za kila state/jimbo au miji.
Matangazo ya kujiunga hadi kwa michuzi(kila kona) ila sijui kama deal/tenda/nafasi za kazi pia zitaanikwa wazi au ndio itakuwa ule usemi wa "umjuae...."
Rais Kikwete anaondoka US kesho kurejea nyumbani, Alhamis atakuwa Arusha kwenye Ufunguzi wa Mkutano wa CPA.Watu wa DICOTA msubirini Mchungaji Mwakasege atakuja huko na watu wake wa TIC.
ReplyDeleteMikutano ya mwanzo ya uanzishwaji wa Jumuiya hii ilifanyika wakati wa mahubiri ya kidini ya Mchungaji Mwakasege kule Twin Cities, Minnesota. Hii Jumuiya inaonyesha ilianzishwa na kundi la Walokole waliokuwa kwenye Mkutano wa Mchungaji Mwakasege kwa malengo yao binafsi, kama dhumuni la uanzishwaji wake ilikuwa ni kwa manufaa ya Watanzania wote, Je ni kwa nini Jumuiya za Kitanzania zilizo States mbalimbali USA hazikuhusishwa kwenye hiyo mikutano ya mwanzo iliyoasisi uanzishwaji wa DICOTA?
ReplyDeleteHuu ni zaidi ya usanii. Unatakiwa kujiandikisha kwa dola 50, halafu simu unayopiga inaingia kwenye machine na mara ingine notirichabo. Huu ni zaidi ya usanii tu.
ReplyDeleteNimeipenda hii DICOTA imekaa vizuri ila kuhusu kikwete nimeongea naye mimi mwenyewe jioni ya tarehe 29 mwezi wa 09 mwaka 2009 kwa simu nikawa na mwambia akifika houston akaribie na kwenye kibanda changu, akacheka kidogo na kusema anarudi nyumbani kuna mambo anaenda kumalizia. Najua hawezi nidanganya anyway labda kuna JK mwengine maana tulikuwa na JK Nyerere kabla ya JK huyu wa sasa. Nitaudhulia mkutano kwa kuwa wameshakula karibia laki moja ya bongo nilipo jiunga.
ReplyDeletehttp://news.bbc.co.uk/2/hi/business/8284073.stm
ReplyDeleteBAE Systems faces bribery charges
'Explosive investigation'
How are arms deals done?
The latest SFO investigations are into contracts BAE won from countries including Tanzania, the Czech Republic, Romania and South Africa.
Soma mwenyewe na uone mambo,sasa hizi Diaspora za nini.
Wazungu waliouza wanaona uchungu ,lakini tuliouziwa tunacheka tu!!!!!!
Yaani hii dicota ni kichekesho eti wanataka watu wanaoishi marekani warudi tanzania kusaidia nchi. Mimi nashangaa sana mimi nilijua huu mkutano ni kuungana watanzania ilikuweza kuishi katika hali nzuri na maendeleo kama wahamiaji katika nchi hii kila mtu ambaye ameondoka ana mambo yake binfsi sasa kuja kushauri watu warudi tanzania mimi naona nyie ni wajingba sana na mkutano wenye yaani hauna point eti crdb sasa hiyo bank inausika nini hapa marekani mimi nilijua itakuwa kama bank of america hau ata bank ya uzushi ya hapa usa dicota nyie ni wazuri hamna hata la maana.
ReplyDelete