MRS. MARGRETH MUHANDO (MAMA LEMMY), FEBRUARI 07, 1950 – SEPTEMBA 04, 2006

MAMA, NI MIAKA MITATU KAMILI SASA TANGU UTUTOKE. UMETUACHA NA MAJONZI NA MAUMIVU MIOYONI MWETU. TUNAKUMBUKA SANA UWEPO WAKO TUKITAMANI MUNGU ANGEKUACHA JAPO KWA MIAKA MICHACHE, MIDOMO YETU HAIWEZI KUELEZEA JINSI TULIVYOKUPENDA, LAKINI MUNGU ANAJUA JINSI GANI TULIKUPENDA, NA JINSI GANI TUNAKUMBUKA MAPENZI YAKO, WEMA WAKO NA MWONGOZO KATIKA NYUMBA YETU AMBAYO NI PWEKE SASA.
UNAKUMBUKWA SANA NA MUMEO MPENZI WATSON MUHANDO, WATOTO LEMMY, WILSON, LOI, CHRISTINE NA LAWRENCE, WAJUKUU, PAMOJA NA NDUGU WOTE NA MARAFIKI
KIMWILI HAUKO NASI, BALI KIROHO UKO NASI DAIMA.
MWENYEZI MUNGU AIPUMZISHE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI.
AMEN.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Rest in peace Aunty. You are missed by many!! Ndugu zangu may the memory of her love to you be your comfort.

    ReplyDelete
  2. JAMANI POLE SANA LEMMY YAANI TIME FLIES.
    YAANI KUMBE LEMMY UNAFANANA NA MAMA YAKO SANA
    POLE SANA KAKA
    MDAU TORONTO

    ReplyDelete
  3. You had a heart of gold shangazi.
    Rest in peace.

    ReplyDelete
  4. If Roses grow in Heaven,
    Lord, please pick a bunch for me,
    Place them in my Mother's arms and tell her they're from me.
    Tell her, I love her and I miss her,
    and when she turns to smile,
    place a kiss upon her cheek and hold her for awhile..

    Mama, Are you celebrating in Heaven?
    Tell me how it feels not to hurt anymore,
    that's something I've never heard you say.

    I wish I could see you Mama,
    standing straight again with loving eyes.
    It's better you can't see me now,
    I'll see you in Heaven one day.

    Just think Mama,
    you'll never get any older than you were.
    Here in my heart I hear your voice with its many inflections,
    see your eyes and smile myself when I remember yours.

    I miss you Mama,
    I'm so glad I always tried to tell you and show you that I loved you.
    I'll be all right in time, to everything there is a season.
    Remembering you is easy, I do it every day,
    but there's an ache within my heart,
    that will never go away
    In my heart mama, you live forever.

    I'm not as constantly sad anymore because I know you are at peace,
    which I long to have someday.
    I mostly just remember the good times and think of you,
    and your beautiful smile and loving ways.
    I don't know when or if the grief and pain ever stops,
    You were the best mother anyone could have ever wanted to have.

    I feel your love even now.
    Your life was blessed, as mine has been.
    God has shone His love on my family.
    Though I miss you dearly, I know you are at peace now
    I know you are happy there Mama ,I can almost see the sparkle in your eye.
    Just wait o'er the way for us,
    and one grand day we'll meet you by-and-by.

    Your loving daughter,
    Christine!!!

    ReplyDelete
  5. May God rest her soul in peace. Anaonekana alikua so loving and caring. I will pray for u mama

    ReplyDelete
  6. Continue to sleep mama yangu mpenzi.

    ReplyDelete
  7. very sorry wilson,though we r all die,but the problem is whose gonna be first and the positions to the society as well coz u need her as a mother....but lets God do his work
    rest in peace mama

    always bro richard

    ReplyDelete
  8. Marafiki wa Wilson1September 04, 2009

    Ni vigumu kuamini kuwa miaka mitatu imepita. Miaka mitatu ya wakati mgumu kwa family na marafiki wote. Ila tunaamini kuwa upo na bwana wetu Yesu Kristo. Tunazidi kuuokosa upendo na ukarimu wako.

    ReplyDelete
  9. Jamani wafiwa poleni sana kwa kuondekewa na mama yenu mpendwa,jina la bwana libarikiwe na poleni sana..Lillian Norway

    ReplyDelete
  10. Simfahamu huyu mama, but just from reading her kids' comments ime touch sana moyo wangu. Inaonyesha jinsi ambavyo hao watoto wanavyompenda mama yao. Mungu awabariki. Wamenifanya nimfikirie sana mama yangu ambaye yuko hai, na nimetoa machozi kufikiria kwamba kuna siku nitampoteza na it scares the heck out of me.

    Poleni jamani, nitawakumbuka kwenye sala zangu. Mungu amlaze marehemu mahali pema peponi

    ReplyDelete
  11. we anony Fri Sep 04, 04:47:00 PM, una mkataba na israeli?

    ReplyDelete
  12. Rest in peace my mother in law,i always miss u and pray for you mama

    ReplyDelete
  13. Poleni sana Muhando's.-Michigan

    ReplyDelete
  14. Poleni sana, Jina lake bwana libarikiwe.

    ReplyDelete
  15. Pole sana Christine, Mungu azidi kuwapa nguvu.

    Classmate-Jangwani

    ReplyDelete
  16. Grace MbweteSeptember 07, 2009

    Mama Christine, you will always be remembered mama. You were the kindest and loving mother not only to your kids but to all of us who were lucky enough to know you. Rest in peace mama. We know you are in a good place.

    Christine, Lau, Loy, Wille na lemmy, take heart, be thankful to God for the time you had with mama.

    Be blessed.

    Grace a.k.a Mama B

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...