Mzee michuzi na wadau wa Globu ya Jamii.
Naomba msaada tutani jamani. Kuna kamziki kamoja ka zamani nakatafuta ka miaka ya tisini hivi, chorus yake ilikuwa ina sema:
"My sweetie....
my sugar...
oooh yes...
ooh yes....."
Please kama mnaweza kunipatia Link yake naiomba.
Mdau Alex.
USA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. unanyege wewe pumbavuuuuuuuuuuuuuu

    michu usinibanie huyu jamaa anapost upuuzi tu

    ReplyDelete
  2. http://www.youtube.com/watch?v=f_8Jj2rkcv4

    uliimbwa na Bunny Mack

    ReplyDelete
  3. Michu huu wimbo nadhani ulipigwa na waKenya miaka ya 80 ana kuendelea kutamba mpaka miaka hiyo ya Tisini.

    ReplyDelete
  4. Bro michuzi inakuwaje unaruhusu lugha chafu mtandaoni? Kama hakuwa na shida ya kuchangia si angekaa kimya? Acheni hizo wadau!!

    ReplyDelete
  5. Mi msinitukane.. na mi naulizia wimbo ule wa miaka ya mwishoni mwa 90.. uliimbwa nadhani na mZaire.. uko hivi:

    Rosa wangu mama, unisamehe..
    sitaki tena kosa, kama ni kuoa, nishaoa..
    kama ni watooto..

    sikumbuki mengine..

    No matusi please

    ReplyDelete
  6. Sory hii comment ya ''nyege'' ilipenyaje kwny chujio lako?ama ulikua umelala?Johns

    ReplyDelete
  7. We mchangiaji nr 1 una matatizo gani? Mi sioni kosa la muulizaji. Km huna msaada nyamaza kimya sio kujaza post. Big up mchangiaji nr 2, mi naburudika hapa.

    ReplyDelete
  8. tuma anwani yako nitakutumia collection cd bure.

    tgeofrey@yahoo.com

    ReplyDelete
  9. Michuzi kwanini unaruhusu comments za zjabu namna hiyo? au kwasababu mdau amesema usimbanie. Heshima ni kitu cha bure. Tho' hatujui ni nani katoa hiyo comment ya kwanza lakini huko aliko yeye mwenyewe anatakiwa ajitambue kuwa alichofanya hakina ustaarabu kabisa kama huna cha kuandika ach kutoa maoni

    ReplyDelete
  10. kwa njia ya video unaweza kuuona wimbo ni huu hapa ila huyo mai sweet wako usimwache mpaka umekumbuka wimbo hakikisha unafunga Ndoa nae:

    http://www.youtube.com/watch?v=58JzcxsQY4c&feature=related


    thanks.
    Mdau number one.

    ReplyDelete
  11. http://www.youtube.com/watch?v=58JzcxsQY4c&feature=related

    ReplyDelete
  12. Mdau USA, next time mtumia google, ni rafiki yako.

    ReplyDelete
  13. Du!

    Kweli binadamu wako tofauti..

    Mmoja katukana tu!

    Mmoja kaweka link ya wimbo!

    Yaani tofauti.

    Du!

    ReplyDelete
  14. ungetoa maelezo kidogo aliimba mwanamke au mwanaume, uliimbwa na mtz au? wasanii wa siku hizi hawana mashairi mapya maneno mengi yanajirudia hapo unaweza kupata nyimbo zaidi ya 100 zenye maneno hayo

    mdau wa kwanza jiheshimu aliyepost ni mama yako mzazi

    ReplyDelete
  15. wimbo uliimbwa na BUNNY MARK (siyo Bunny Mack)kutoka Africa magharibi.

    Nami natafuta movie iitwayo "MAN FROM AFRICA"

    ReplyDelete
  16. Jamani wabongo wenzangu hebu tubadilike! hii ni blog ya jamii na ni sehemu ya majadiliano na kuelimishana. Kwanini mtu anauliza swali kisha anatukanwa. Kuuliza sio ujinga ni kutaka kuelewa. Watu wote mnaotukana ni wapumbafu na ni bora kuitwa mjinga kuliko mpumbavu. Kwani mpumbavu kamwe hata elimika hata umfundishe vipi, lakini mjina anaelimika.
    Mtu anapouliza swali apewe jibu kama wewe unaona ni la ujinga kaa kimya.
    Michuzi endelea kutuma hayo matusi ili tuendelee kuona jinsi gani baadhi ya watanzania walivyo wapumbavu na sijui tutawasaidia vipi kwani hatakaa waje waelimike.
    Thanks Mdau USA

    ReplyDelete
  17. mi natafuta ule mwimbo wa titittiiitaaaa, titaa taaaatalallaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
    miaka ya 80 wadau manujua mbowe chooni enzi hizo dj anaforward na peni!

    ReplyDelete
  18. jamani nami pia naomba anayeweza kunipa link ya wimbo wa yvone chakachaka unaitwa BOMBANI,nimeutafuta sana youtube sijaupata kwa muda mrefu,japo niliwahi kupata introduction yake pamoja na nyingine ktk album yake ktk website moja ya waingereza.
    tafadhali sala mwenye clue anistue

    mdau*********

    ReplyDelete
  19. enyi wadau mnaotaka kujua hizi ishu zenu mbalimbali ingieni google msachi kule mtapata kila kitu unachotaka kujua mbona ize sana au ndo mkishaingia kwenye blog ya jamii huna time tena na computer eenhe?? kuna vitu vingi sana vya kujifunza bila hata kuuliza though kuuliza si ujinga
    miss michuzi

    ReplyDelete
  20. We Miss Michuzi..
    ili mtu aweze ku search.. lazima angalau uwe na jina la muimbaji, ama jina la mziki, ama mwimbaji mwenza (kama yupo).. sasa hapa unakuta mtu anakumbuka tu baadhi ya maneno.. hakumbuki jina la muziki wala muimbaji

    ReplyDelete
  21. nisaidieni na mimi jamanikuna wimbo wa zamani kidogo unaimbwa "nilimuona sakinaa amelewa saaaaaaana,na shati lake la ndegeeee,na raba zake za ng'ambooo,sakina leo atasoma tenaaaa,maishani mwake wazeee wanguuuu.elimu ni ufunguo w amaishaa.

    kama mtu unajua ni bendi gani iliimba nitumie kwa titusboniface@yahoo.com

    ReplyDelete
  22. Yaani uliyeuliza movie ya Man from Africa ukijibiwa utaninufaisha na mimi. Nimeitafuta hiyo movie kwa udi na uvumba mpaka sasa sijaipata nimegoogle kwa title sikupata kwa jina la mcheza sinema sikupata katika IMDB movie zake zote zipo kasoro hiyo. Jamani nisaidieni hiyo movie niliipenda sana nilipokuwa kijana nataka kukumbukia.

    ReplyDelete
  23. Man from Africa pia inaitwa Girl from India.
    http://www.imdb.com/title/tt0219043/

    Nakumbuka niliangalia nikiwa mdogo, nikawa nafungwa fungwa macho nisione mambo ya kikubwa.

    Natumaini kujua jina mbadala inaweza kusaidia
    Cheeeers

    ReplyDelete
  24. haya mdau pata mbombani ya yvonne

    http://www.youtube.com/watch?v=FJUMcH80v5A&feature=PlayList&p=8EE5B0371BD29676&playnext=1&playnext_from=PL&index=45

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...