Mzee michuzi na wadau wa Globu ya Jamii.
Naomba msaada tutani jamani. Kuna kamziki kamoja ka zamani nakatafuta ka miaka ya tisini hivi, chorus yake ilikuwa ina sema:
"My sweetie....
my sugar...
oooh yes...
ooh yes....."
Please kama mnaweza kunipatia Link yake naiomba.
Mdau Alex.
USA.
unanyege wewe pumbavuuuuuuuuuuuuuu
ReplyDeletemichu usinibanie huyu jamaa anapost upuuzi tu
http://www.youtube.com/watch?v=f_8Jj2rkcv4
ReplyDeleteuliimbwa na Bunny Mack
Michu huu wimbo nadhani ulipigwa na waKenya miaka ya 80 ana kuendelea kutamba mpaka miaka hiyo ya Tisini.
ReplyDeleteBro michuzi inakuwaje unaruhusu lugha chafu mtandaoni? Kama hakuwa na shida ya kuchangia si angekaa kimya? Acheni hizo wadau!!
ReplyDeleteMi msinitukane.. na mi naulizia wimbo ule wa miaka ya mwishoni mwa 90.. uliimbwa nadhani na mZaire.. uko hivi:
ReplyDeleteRosa wangu mama, unisamehe..
sitaki tena kosa, kama ni kuoa, nishaoa..
kama ni watooto..
sikumbuki mengine..
No matusi please
Sory hii comment ya ''nyege'' ilipenyaje kwny chujio lako?ama ulikua umelala?Johns
ReplyDeleteWe mchangiaji nr 1 una matatizo gani? Mi sioni kosa la muulizaji. Km huna msaada nyamaza kimya sio kujaza post. Big up mchangiaji nr 2, mi naburudika hapa.
ReplyDeletetuma anwani yako nitakutumia collection cd bure.
ReplyDeletetgeofrey@yahoo.com
Michuzi kwanini unaruhusu comments za zjabu namna hiyo? au kwasababu mdau amesema usimbanie. Heshima ni kitu cha bure. Tho' hatujui ni nani katoa hiyo comment ya kwanza lakini huko aliko yeye mwenyewe anatakiwa ajitambue kuwa alichofanya hakina ustaarabu kabisa kama huna cha kuandika ach kutoa maoni
ReplyDeletekwa njia ya video unaweza kuuona wimbo ni huu hapa ila huyo mai sweet wako usimwache mpaka umekumbuka wimbo hakikisha unafunga Ndoa nae:
ReplyDeletehttp://www.youtube.com/watch?v=58JzcxsQY4c&feature=related
thanks.
Mdau number one.
http://www.youtube.com/watch?v=58JzcxsQY4c&feature=related
ReplyDeleteMdau USA, next time mtumia google, ni rafiki yako.
ReplyDeleteDu!
ReplyDeleteKweli binadamu wako tofauti..
Mmoja katukana tu!
Mmoja kaweka link ya wimbo!
Yaani tofauti.
Du!
ungetoa maelezo kidogo aliimba mwanamke au mwanaume, uliimbwa na mtz au? wasanii wa siku hizi hawana mashairi mapya maneno mengi yanajirudia hapo unaweza kupata nyimbo zaidi ya 100 zenye maneno hayo
ReplyDeletemdau wa kwanza jiheshimu aliyepost ni mama yako mzazi
wimbo uliimbwa na BUNNY MARK (siyo Bunny Mack)kutoka Africa magharibi.
ReplyDeleteNami natafuta movie iitwayo "MAN FROM AFRICA"
Jamani wabongo wenzangu hebu tubadilike! hii ni blog ya jamii na ni sehemu ya majadiliano na kuelimishana. Kwanini mtu anauliza swali kisha anatukanwa. Kuuliza sio ujinga ni kutaka kuelewa. Watu wote mnaotukana ni wapumbafu na ni bora kuitwa mjinga kuliko mpumbavu. Kwani mpumbavu kamwe hata elimika hata umfundishe vipi, lakini mjina anaelimika.
ReplyDeleteMtu anapouliza swali apewe jibu kama wewe unaona ni la ujinga kaa kimya.
Michuzi endelea kutuma hayo matusi ili tuendelee kuona jinsi gani baadhi ya watanzania walivyo wapumbavu na sijui tutawasaidia vipi kwani hatakaa waje waelimike.
Thanks Mdau USA
mi natafuta ule mwimbo wa titittiiitaaaa, titaa taaaatalallaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeletemiaka ya 80 wadau manujua mbowe chooni enzi hizo dj anaforward na peni!
jamani nami pia naomba anayeweza kunipa link ya wimbo wa yvone chakachaka unaitwa BOMBANI,nimeutafuta sana youtube sijaupata kwa muda mrefu,japo niliwahi kupata introduction yake pamoja na nyingine ktk album yake ktk website moja ya waingereza.
ReplyDeletetafadhali sala mwenye clue anistue
mdau*********
enyi wadau mnaotaka kujua hizi ishu zenu mbalimbali ingieni google msachi kule mtapata kila kitu unachotaka kujua mbona ize sana au ndo mkishaingia kwenye blog ya jamii huna time tena na computer eenhe?? kuna vitu vingi sana vya kujifunza bila hata kuuliza though kuuliza si ujinga
ReplyDeletemiss michuzi
We Miss Michuzi..
ReplyDeleteili mtu aweze ku search.. lazima angalau uwe na jina la muimbaji, ama jina la mziki, ama mwimbaji mwenza (kama yupo).. sasa hapa unakuta mtu anakumbuka tu baadhi ya maneno.. hakumbuki jina la muziki wala muimbaji
nisaidieni na mimi jamanikuna wimbo wa zamani kidogo unaimbwa "nilimuona sakinaa amelewa saaaaaaana,na shati lake la ndegeeee,na raba zake za ng'ambooo,sakina leo atasoma tenaaaa,maishani mwake wazeee wanguuuu.elimu ni ufunguo w amaishaa.
ReplyDeletekama mtu unajua ni bendi gani iliimba nitumie kwa titusboniface@yahoo.com
Yaani uliyeuliza movie ya Man from Africa ukijibiwa utaninufaisha na mimi. Nimeitafuta hiyo movie kwa udi na uvumba mpaka sasa sijaipata nimegoogle kwa title sikupata kwa jina la mcheza sinema sikupata katika IMDB movie zake zote zipo kasoro hiyo. Jamani nisaidieni hiyo movie niliipenda sana nilipokuwa kijana nataka kukumbukia.
ReplyDeleteMan from Africa pia inaitwa Girl from India.
ReplyDeletehttp://www.imdb.com/title/tt0219043/
Nakumbuka niliangalia nikiwa mdogo, nikawa nafungwa fungwa macho nisione mambo ya kikubwa.
Natumaini kujua jina mbadala inaweza kusaidia
Cheeeers
haya mdau pata mbombani ya yvonne
ReplyDeletehttp://www.youtube.com/watch?v=FJUMcH80v5A&feature=PlayList&p=8EE5B0371BD29676&playnext=1&playnext_from=PL&index=45